Search results

  1. ikinyunyi

    Ni mbolea gani inafaa katika kilimo cha mpunga?

    Habari wana jamii, Kama kinavyosomeka kichwa cha habari mimi ni mdau ambae ni mgeni katika mambo ya kilimo ila nimeamua niweke nguvu zangu huko. Nimelima mpunga ekari 5 msimu huu na ninahitaji kuweka mbolea nikiamini nitapata mazao mengi ila naomba mnisaidie yafuatayo:- 1. Mbolea za aina...
  2. ikinyunyi

    Binti mrembo, mtanashati ila kitu kimoja tu umeharibu, blauzi imefungwa na pini

    Hi JF Ni kama uzi unavyojieleza, katika mishe zangu za hapa na pale mara kadhaa nimekutana na baadhi ya wadada warembo, watanashati, waliojipamba vizuri wakakolea ila ukiendelea kumtazama vizuri sana unagundua blauzi alovaa haina kifungo na badala yake amefunga kwa pini ya kufungia nepi...
  3. ikinyunyi

    Furaha na bashasha hii ya wafanyakazi katika Mei mosi ya 2017 ni ya dhati!?

    Nipo natazama ITV mubashara, naona baadhi ya wafanyakazi wanashangilia sana lkn wengne wanaonekana hawana shauku yoyote ila ni kama wamelazimishwa. Naomba mniondoe utata hapa, hivi ni kweli furaha na bashasha hii ninayoiona inatoka kwa dhati mioyoni mwao au hawana la kufanya ila imebidi wafanye...
Back
Top Bottom