Search results

  1. U

    Dar: Polisi inamshikilia Fatma Chikawe kwa kumdhalilisha Mzee Lowassa kuwa ni baba yake mzazi

    Mi nahisi yule Dada kalambishwa mpunga ili akanushe maelezo yake ya awali,ila lazima ni mtoto wake tu,asingetoka hadharani kwenda kudai kutambuliwa na baba yake na mama yake kathibitisha kuwa kweli ni mtoto wake halafu akanushe,nahisi upande wa mlalamikiwa umemlambisha mpunga akanushe tu
  2. U

    RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Na lengo ndo hilo ukitajwa na wewe unaitwa kwenda kueleza kama ni kweli ulitelekeza mtoto especially wachungaji na maaskofu tujue ni wasafi kiasi gani?Makonda endelea kosa ni kosa tu bila kujali limetendwa na nani
  3. U

    RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Waziri anadeal na nchi nzima yeye Makonda anashughulikia matatizo ndani ya mkoa wake tu,hivyo hajakosea kisheria
  4. U

    Askofu Dk. Shoo, amesema anatamani kuona Wakristo na Watanzania wote wanavaa ujasiri na kuwa na sauti ya kuonya

    Huyo askofu hajui kama waraka ulishachuja?kwa hiyo hayo mahubiri ya leo ameyatoa kitabu gani?kila siku no hayohayo tu watu wamechoka
  5. U

    Abdul Nondo amewapiga "KO" maofisa Uhamiaji

    Kwani yeye aliagizwa apeleke historia ya TANU au vyeti ?
  6. U

    Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

    Mtasema mengi mwaka huu,mbona mlikuwa mnasema eti haitakuja?saa hizi ndo mnajisemesha eti haina faida,ndo ilishafika sasa
  7. U

    Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

    Na kabla ya jpm ilikuwa inamiliki shirika gani?
  8. U

    Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

    Mbona Precision air yenyewe haifi,ATCL tu ndo umeona itakufa,we kapande ngorogojo a.k.a baiskeli ya miti
  9. U

    Sikutegemea kama brother K anajua kuimba hivi

    Ni kweli ila kazaliwa kigoma na wazazi wake wote wapo kigoma ,baba yake alishastafu kazi anaishi kigoma ameshika dini sana ,moyo mt wa yesu ,
  10. U

    Albamu bora ya Kanisa Katoliki

    Hahahahahaha
  11. U

    Kanisa la Moravian lamuunga mkono Rais Magufuli, lapuuza matamko na kuyaita ni malalamiko

    Ya kwenda shambani na jembe begani, hahahahaha,tumegundua maandamano hayaleti ugali mezani,asante baba Askofu
  12. U

    Kanisa na Vatican wamchunguze Kadinali Pengo, Maaskofu wote wanufaika wa Tegeta Escrow ni wasaidizi wake

    Umechanganyikiwa na nini? Pengo alishasema waraka huo hautambui nasi tumekubali kuwa haifai sasa mtulie tu hamtabadilisha chochote tena
  13. U

    Hoja ya kutokula nyama siku ya ijumaa kuu inatoka wapi?

    Kkkt ni kabisa gani nalo hilo? Kwa hiyo kenya linaitwa kkkk,Burundi kkkb,Rwanda kkkr,Malawi kkkm,hahahaha
  14. U

    Ya Askofu Pengo, Askofu Mtega wa Songea alishayafanya sana

    Mbona hujaeleweka ,andika upya
  15. U

    Siri nzito yafichuka kuhusu waraka wa Kanisa Katoliki

    Mimi mwenyewe nimemuelewa sana,hata Mimi nilipousikia siku ya jumatano ya majivu nilijiuliza maswali mengi sana mpaka katekista aliyeusoma nikaanza kumchukia,poroko alikuwepo ila hakuusoma nafikiri labda na yeye alishtukia kitu,watskuwa wamevuta mpunga,sasa na wewe ndugu yangu saba katibu...
  16. U

    Kwa ambao hawajui ratiba ya wiki ijayo katika Litrugia ya kanisa ipo hivi...

    Mtoa mada unawachanganya waporoto unapotaja litrugia hawaelewi kabisa hii kitu
  17. U

    Msemaji wa Serikali: Nimeulizwa kuhusu matamko, hatuoni cha kujibu zaidi kuwatakia Pasaka njema

    Wangekuwa maaskofu was kikatoliki saws ila hao wa kkkkkkttttt ni wepesi sana hawana lolote
Back
Top Bottom