Nisomesoma kwa masikitiko baadhi ya watu wakibeza hatua ya Mwakyembe kupanda treni. Wengine wamesema anatafuta urais! Waziri kupanda treni, ambayo wanapanda makwabwela, ni hatua ya kupigiwa mfano maana ataona shida zinazowakabili. Hata akilizungumza anakuwa na picha halisi! Fikiria kama mawaziri...
Ni kama vile Msigwa ulikwa moyoni mwangu: naichukia sana hii tabia ya kanisa kupenda kuwaalika viongozi wa siasa kwenye shughuli za kiroho. Na X-Masi inakuja, utasikia...Waziri...kawaasa ....wakati akihutubia kwenye ibada ya XMasi! Lakini, hata wenzetu wa ISLAM, nao utasikia mgeni rasmi wa Idd...
Nadhani kuna watu wajinga tu kwa kuzaliwa: sasa mtu kusema kwa sisi ombaomba ukatoliki au dini yake inaingiaje hapo? Watu hawa ndio watachelewesha ukombozi. Na ukombozi ukija tutaanza kuwanyonga wao kwanza maana ni nuisance!
Tanzanias Chief Justice Mohamed Chande Othman may be the man to prosecute the six Kenyans accused of bearing the greatest responsibility for the post election violence.
He is among four people seeking to succeed outgoing ICC Prosecutor Luis Moreno Ocampo.
Mr Chande is among the four...
Katika list ya vitu vinavyohitaji kukombolewa kutoka CCM ni pamoja na:
1. TBC
2. BAKWATA
3. Polisi
4. Usalama wa Taifa
5. Gazeti la Habarileo na Daily News
6. Dr. John Magufuli
Pamoja na usafi wako Magufuli, hakuna Mtanzania atayekusamehe kwa kuuza nyumba za serikali (ukiwa waziri wa nyumba) na sasa viongozi wapya wanatumbua hotelini. Sikuwahi kuelewa logic yako kuwa mnauza nyumba ambazo hata hivyo hazitoshi halafu mnajenga nyingine baada ya muda mrefu!
Ni upuuzi kuanza kumfikiria rais ajaye kwa dini yake. WaTZ hawachagui shehe, padiri au Askofu, wanacgagua kiongozi wa nchi anayeongozwa na katiba. Ndugu Prophet unafanya makosa kudhani kuwa dini ya mtu ndio inayoongoza, unaangukia kwenye mtego wa CCM na wajinga wengine ambao nia yao ni kuivuruga...
CCM walipiga hesabu vibaya kumpa Makinda kazi ya Uspika. Bunge hili limejaa wanaharakati wa mabadiliko wakati Spika ni Mhafidhina (Conservative). Walipaswa kumpa kazi hii mtu moderate au mwanarakati kama Sitta. Hata hivyo, ni wakati mzuri kwa upinzani na wapenda mabadiliko kuonyesha udhaifu huo...
Hii inadhitibisha kuwa CDM ni chama Kiongozi. Uamuzi wa Zito umeasha mjadala wa kitaifa na kuongeza 'visibility' yao kuliko CCM. Na wananchi wa kawaida wanaona kuwa matendo ya CDM yana nia nzuri ya kupunguza matumizi ya serikali na kuongeza fedha za maendeleo.
Wazo la Zitto ni zuri lakini CCM wameligeuza propaganda. Lakini hata hivyo, Zito amefanikiwa kuibua mjadala wa jinsi serikali inavyopoteza hela nyingi kwenye posho za vikao. Kwa mfano tunaambiwa ukiondoa posho kwa wafanyakazi wote wa serikali unapata bilioni 900. Hizi sio pesa kidogo. Tunaweza...
Huu ni udhaifu mkubwa kwa utawala wa JK. Yaani katishiwa nyau kaanza kutaja majina, tena ya wa-nigeria!, Aliyetaja mwenyewe hana moral authority (udhu) maana na yeye katuhumiwa kumbambikia mtu kesi ya madawa--mtoto wa Mengi!
Walimfunga Mandela, wakamfunga na Jomo Kenyatta lakini Uhuru ukapatikana. Gereza halijawahi kuzuia 'uhuru' mahali popote pale. Wametia mafuta katika moto unaowaka. Keep it up Mbowe, Zitto, Lissu, na Sakaya!
Mtakumbuka kuwa ni huyu Dovutwa aliyesema kitu cha kwanza akichanguliwa kuwa rais ni kujenga kiwanda cha silaha maana hili ndio tatizo kubwa la waTZ! Huyu ni mchekeshaji tu
Hizi ni porojo kama porojo nyingine tu. Kwani hawezi kutaja mpaka sasa wamepokea kiasi gani? zimepitia benki gani? Tusikubali tugeuzwe taifa la tetesi na majungu. Yaani mtu anaamka tu na kuanza kuhisi vitu kama yuko ndotoni! Mara CCM wanalindwa na majini, mara CDM wamepewa hela waandamane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.