Search results

  1. J

    Gari aina moja, majina tofauti, nini athari zake?

    Mara nyingi huwa ni sababu za kibiashara au tamaduni. Mfano, Toyota Highlander ni gari lile lile la Toyota Kluger. Wajapani hawawezi kutamka Highlander kwa ufasaha hivyo Highlander inauzwa Marekani na Kluger inauzwa Japani lakini ni gari ile ile. Ni kama tu toyota Harrier na Lexus RX 300. Lexus...
  2. J

    Karibu Prof. Mama Anna Tibaijuka ndani ya JamiiForums!

    Karibu mtani wangu, Naomba nikukaribishe kwa swali lifuatalo kuhusu kupanda kwa gharama za ardhi. Nakumbuka katika bunge la bajeti la 2012/13 bunge lilikuruhusu ku-review gharama za ardhi. Nawe bunge lilipoisha ukarudi ofisini na kufanya kazi hiyo. Kinachonisikitisha ni jinsi ulivyopandisha...
  3. J

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    Hivi baada ya kupokea fedha hizo (1bn) kutoka idara zake ndani ya wizara kuna uwezekano Bunge likaelezwa zimetumikaje au bado zipo tu wizarani
  4. J

    Zitto amwambia Makinda nipo tayari kuvua dagaa kijijini kwetu

    Waacheni wenye dola wale ni zama zao, si nilisikia UVCCM walikaa bagamoyo wakasema ni kwa zamu au .........
  5. J

    kampuni ya kigeni na sheria za kazi - TANZANIA

    Kwa kuongezea tu; Kwa sheria ya sasa ya kazi hakuna ajira inayoitwa kibarua; kibarua ilikuwa sheria ya zamani, Sheria sasa hivi inatambua ajira za aina tatu nazo no 1. Permanent contract 2. Contract for specified period, eg. miezi mitatu, one year etc 3. Contract for specified task, mfano...
  6. J

    Nisaidie Nidai Fidia Serikali

    Kama nimekupata vema, inaonekana ushahidi ulitolewa na upande wa mashitaka ila mwisho wa siku ikaonekana hautoshi kukutia hatiani. Hapa ndipo ugumu unapokuja. i kila mara unapopelekwa courtini upatikane na hatia. Pia si kila kesi mtuhumiwa anaposhindwa anakuwa na haki ya kufungua shauri la...
  7. J

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Mnaosema Makinda atachemka mnakosea; yeye kazi yake ni rahisi - kuwanyima wapinzani nafasi ya kusema basi
  8. J

    Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

    Tangu nianze kufuatilia habari za bajeti ni mwaka wa 6 sasa. Serikali kuna baadhi ya miaka ilikuwa inakuja na bajeti tamu hadi unaona nchi sasa itaendelea. Mwaka huu pamoja na mapungufu ya ubunifu wa vyanzo vipya vya mapato na kuendelea kung'ang'ania vyanzo asili kama bia na sigara na kusahau...
  9. J

    Sifurahishwi kabisa na utaratibu huu wa Ubungo Bus Terminal

    Hawajui wanapotezea watu muda; nchi hii inahitaji vitu wiwili ili iendelee 1. Kujali muda 2. Kuwajibika Muda unaotumika kutafuta tiketi mfukoni unaweza kusababisha baadhi ya watu waendelee kusubiri; huu ni upotezaji wa muda usio na sababu
  10. J

    Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    Naona mtoa hoja ni Nauye Jr na picha ni ya Nape Nauye, je huyu ni Nape Nauye kabisa au mtu mwingine. Kama ndiye asilete habari za magazeti ya uhuru hapa. Yeye atwambie mkakati wa siku 90 kwa watuhumiwa ............., aeleze kwa nini alisema hawezi kujiunga CDM kwa kuwa ni cha wachaga
  11. J

    Mubarak na Mkewe Kusalimisha Mali zao na Kuomba Msamaha -tunajifunza Nini?

    Tz ni politic tu, wacha tuendelee kulala, iwe jioni iwe asubuhi siku ya pili, siku ziende mbele lakini hakuna cha maana
  12. J

    Mtikila ampa siku 7 Ridhiwan aende mahakamani

    Nawahakikishia kuwa ngoma hii itaisha bila mshindi kujulikana!!!, si kesho tu mwezi june tutakuwa tumesahau na kuibuka na kitu kingine ..............
Back
Top Bottom