Search results

  1. Nyundooo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hadi sasa sifahamu mtu yyt wa Kagera ama anyetaka kuhamia. Tuendelee kupambana.
  2. Nyundooo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hahaha Mimi nimeishi mwaka wa Sita sasa Sina hata kovu na ninatembea masaa 24. Ukiishi na watu vizuri huwezi kupata shida.
  3. Nyundooo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl wa Basic Mathematics nataka kuhamia mtwara aliye tayari aje Tarime Nyamongo Mgodini kbs. Me nafuata familia tu ila hapa napotoka pazuri mno nyumba za watumishi za kutosha. Aliye tayari 0626115067
  4. Nyundooo

  5. Nyundooo

    Wanangu na nyie mtazaa tu

    Huyo mtoto si ndio uliezaa na yule mmama wa g mboto mkuu?
  6. Nyundooo

    Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

    Ni kumtoa mbowe tu na kusema sio gaidi. Hapa hata shetani anawashangaa.
  7. Nyundooo

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    Kwa sifa zote hizo zilizoelezwa nadhani hawa pia watakua waraibu Sana wa masturbation. Kwasababu aibu iliyokithiri ni moja ya changamoto ktk kutongoza, kujitenga kunaleta ushawishi wa kujaribu au kufanya vitu kisiri, pia nadhani ni watu wanaopenda michezo hatarishi na hawaogopi kujaribu kwa...
  8. Nyundooo

    Natafuta mwenza

    Cathe2 Tuanze na hili la wewe kukosa mtoto, njo nikupe mimba uzae kwanza umri unaenda huo. Vigezo vyote ninavyo kasoro umri ni 29. Binafsi Nina watoto wa3 kila mmoja na mama yake na wote nawahudumia. Njo PM tuelewane.
  9. Nyundooo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NILIPO WILAYA: TARIME IDARA: SEKONDARI, MATHEMATICS SHULE IPO MJINI, NMB BANK IMEPAKANA NA SHULE, NYUMBA ZA WALIMU ZIPO NATAKA KUJA MKOA: MBEYA, PREFERREBLY WILAYA ZA MBEYA MJINI, RUNGWE MAWASILIANO: PM
  10. Nyundooo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mkumbushe pia kuwa maji na umeme hatunaga mgao, recreation facilities aende kyela au mbeya mjini za kumwaga nauli 3000 tu.
  11. Nyundooo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NILIPO WILAYA: TARIME IDARA: SEKONDARI, MATHEMATICS SHULE IPO MJINI, NMB BANK IMEPAKANA NA SHULE, NYUMBA ZA WALIMU ZIPO NATAKA KUJA MKOA: MBEYA, PREFERREBLY WILAYA ZA MBEYA MJINI, RUNGWE MAWASILIANO: 0752728680
Back
Top Bottom