Search results

  1. Msingi_Kiuno

    Kwanini watu wengi huvutiwa na umbea?

    habar yenu nyote wakuu... nawaalika nyote tumulike kwa kujadiliana, ni sababu zipi zinapelekea watu wengi kuvutika na habari zisizo na mashiko ktk kubadili maisha yetu kiuchumi..... wanaouza habari za uwekezaji, uchumi, biashara nk wanapata soko kwa tabu sana. ila habari kama za udaku...
  2. Msingi_Kiuno

    Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania.... kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu. Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta...
  3. Msingi_Kiuno

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Wakuu habari ya muda, Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania. Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande...
Back
Top Bottom