Search results

  1. G

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    israel in proved record ya kushinda vita, iran ni maneno zaidi
  2. G

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Itikadi Kali zipo na usijifanye hujui, na tunazijua kwa matunda yake, mtu anafundishwa dini badala ya kuwa mtu mwema anakua muuaji na mvurugaji halafu yakotokea Kuna watu wataanza kudai ni mipango ya marekani na Israel. Kila kitu Dunia hii kinahitaji kuwa na kiasi ie moderation.
  3. G

    Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

    Mnufaka mkubwa WA hizo pesa ni military industry ya marekani. Hata hivyo kwa yeye Dola ni yake Wala Hilo deni halimsbui ni issue ya kuprint na kulipa tu.
  4. G

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Ukifiatlia sana hao wamiliki utakuta wamepata hizo elimu kwenye nchi ambazo ni purely Muslim na yenyewe yanakuja kuapply bila kuangalia mazingira ya hapa kwetu
  5. G

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    The big big problem sio mafunzo ya karate Bali indoctrination wanayofanyiwa, halafu kama ni jambo zuri mbona wanafanyia gizani, tumwombe Mungu sana alete Nuru Giza litoweke, hawa wanaandaliwa kutengeneza fitna kwenye taifa na kutengeneza mfumo WA terrorism, itsfika wkt unaishi na Jirani yako...
  6. G

    Demokrasia ya watu wa China ni bora kuliko ya nchi za Magharibi (Marekani & Ulaya)

    Actually what matters ni uchumi, hata upewe uhuru WA kumchagua baba yako kama hamna maendeleo ya kiuchumi ni kazi bure
  7. G

    Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    Mi naamini mwanamke akiwa na elimu ya msingi nzuri au sekondari inatosha kabisa Elimu nzuri kuliko zote kwa mwanamke ni malezi ya familia aliyotoka na mfano WA wazazi kwenye ndoa yao mahusinao yao. Elimu kubwa ni ziada tu na sometime inaweza kuwa chanzo cha jeuri. Kwangu mwanamke bora...
  8. G

    Kwanini Team Samia inaogopa kuenguliwa 2025?

    MAMA ANAWEZA CV KAIJENGA HAINA HAJA YA KUPOTEZA MDA KUWEKA MCHAKATO UPYA. UPINZANI WAJIANDAE
  9. G

    Ibrahim Rahbi na Azam na uchambuzi wa mgogoro wa Israel na Hamas

    Kwa mtu anayejielewa na msomi hawezi kuongea kwenye media kubwa hivyo huku akiunga mkono makundi kama houth na Hezbollah ambayo ni mkono WA Iran WA kueneza itikadi ya kishia. Hajiulizi kwa Nini wasaud wameoigana nao, it's the war of idealogy the Kislam na watu wanashabikia bila kujua. Huyu...
  10. G

    Hivi kuna ukweli kwamba, mtu anakuwa na hela nyingi halafu hana furaha?

    Hakuna material thing yoyote inayoweza kukupa furaha na amani halisi, furaha yake inakuaje temporary .
  11. G

    Watanzania tujifunzeni kiarabu

    Pepo gani Ina ubaguzi!
  12. G

    Israel hii ni taifa la kipagani: 30% tu nchi nzima ndio wanaamini uwepo wa Mungu

    Inatosha Mungu kubariki taifa kupitia mtu Moja tu . Na Israel ni jina la mtu Mmoja aitwae Yakobo mwana wa Isaka mwana wa Ibrahim baba WA mataifa mengi
  13. G

    Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

    Inakuuma Nini nchi ya watu, waishe kama watakafavyo, wee pambana na nchi yako
  14. G

    Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

    Iambie hiyo sauti ya mauti kwamba you have a mission to full fill, na ukiambie kwamba huna mpango WA kujiua.
Back
Top Bottom