Search results

  1. sakapal

    Nigeria: Akamatwa na heroin za "drug lord" Mtanzania

    ....... Feel alright....... nzima wewe? Ile law firm bado ipo? Inaendeleaje? I just remember those days..... claiming to catch big fish... hahahahahaaa Enjoy your weekend.
  2. sakapal

    Nigeria: Akamatwa na heroin za "drug lord" Mtanzania

    Long time no see you EMT .....
  3. sakapal

    Aolewa akiwa na miaka 60

    Mie natamani kuolewa mara ya pili tu....
  4. sakapal

    Hmmm!!! Kufa atufi cha moto tunakiona..!!

    Hapana babu simtamani bali nimeona maumbike yake yalivyo jinsi anavyovutia. Hivi unafahamu hata wsnawske wenyewe kwa wenyewe huwa tunakuubali kuwa "mwenzetu umeumbika sio kwa shepu hilo au sura" Sasa hapo nimekubaliana na uhalisia kuwa huyo binti kaumbika na iwapo kuna mwanaume akimuona na...
  5. sakapal

    Hmmm!!! Kufa atufi cha moto tunakiona..!!

    Hadi nimesisimka, sijui nguvu ya umeme au ya sumaku upande wa hasi na chanya vimegusana.... All in all, Glory to the creater. Na anayefaidi zaidi ni macho, usiombe kuuumbwa kipofu maana macho huwa hayashibi ika yanafaidi hatari.
  6. sakapal

    Hmmm!!! Kufa atufi cha moto tunakiona..!!

    Kumbe watu huzeeka nayo eeh hehehehee kweli ng'ombe hazeeki maini. Mie nilijua ukizeeka yanasinyaa kweli wanaume mmeumbiwa mateso looh, poleni.
  7. sakapal

    Why do people close eyes when kissing?

    I love kissing.... And when am in, every activity in my body stop except breathing and touching. The first day i kiss him.... my hand auto moves to his lap near his P, I dont know what happens we stop. To me kissing is more than making love, I love it.
  8. sakapal

    Leo ni siku ya kuzaliwa kwangu

    Heri ya siku yakuzaliwa, hongera kwa maadhimisho.
  9. sakapal

    Jamaa anajutia kumsaliti mkewe kwa beki tatu

    Ni dharau kubwa sana mkeo/mumeo akijua umetembea na dada wa kazi za ndani (house girl) au kaka wa shamba (house boy). Ni kujishushia hadhi tuu.
  10. sakapal

    Mkulu na viatu vyake

    wamefurahi hadi kushikana mikono kwa ishara ya kukubaliana jambo flani au kuelewana...
  11. sakapal

    Mhandisi akioga

    Aiseeh..... ubunifu!!! Japo hatari lakini salama.
  12. sakapal

    Mbeba box live, mitaa ya Bronx, New York

    Aaaiiiseeehh :rolleyes:
  13. sakapal

    Msaada: Nyani wanakula kuku wangu

    Watamdhibiti kwa umoja wao na kumkamua nyani vilivyo....iwapo tuu kuku hao ni vicheche.
  14. sakapal

    Msaada: Nyani wanakula kuku wangu

    Aiseeh. ..... 1. Fuga mbwa 2. Panda migomba ya ndizi kuzunguka eneo la ufugaji.... Acha ndizi ziivie kwenye mgomba kisha unazichoma sindano ya sumu. Wakila 2 au 3 na kufa watakimbia wote. Hao kuku unaofuga ni broiler au wa kienyeji? Kama wa kienyeji kwa njia hizo 2 hapo juu utakuwa ushatatua...
  15. sakapal

    Tuliopoteana tukutane hapa

    Mie kuna binti mmoja wa mheshimiwa Shekifu alikuwa best yangu sana pale Muhimbili hospital. Popote ulipo makidege you are missed.
  16. sakapal

    Tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa

    Ooh kumbe la msingi mie niko chekechea sijafika msingi bado looh teh
  17. sakapal

    Tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa

    This is out of topic. :focus:
  18. sakapal

    Tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa

    Hahahahaaa mwanamke mkorofi ni bora kuliko yule muongeaji kama kijana sauti cha wauza sumu ya panya, utasikia dawa ya mende panya sisimizi kiroboto inajirudia kuanzia asubuhi hadi jioni. Hivo kwanza una heri kuwa mkeo si wale waongeaji tangu kuna kucha anaongea hadi mchana hadi saa ya kulala...
  19. sakapal

    Black girls are more attractive than white girls

    Black is beauty always though kuna weupe unaovutia na weupe wa kung'aa tuu. Though ume meander ur msg is delivered. Sasa wacha nicheke Hahahahahahahahaaaaaaaaa
Back
Top Bottom