Search results

  1. genius26

    Changamoto ya kupata partner Love connect

    Wadau habarini za kazi? na poleni na majukumu ya hapa na pale katika kulisukuma gurudumu la maisha. Leo ningependa niseme changamoto mbali mbali nilizokutananazo katika Love connect 1:Seriousness , watu wengi hasa wanaume(me) wamekua wakilitumia jukwaa hili kufanya utani/mzaa wakati wachache...
  2. genius26

    Pata kiwanja kwa Tsh 2M

    Nauza kiwamja maeneo ya chanika - Lukooni 12M*24M , vipo viwili vimefwatana vyote ni 12*24M , bei ni 2M@ Panafikika kirahisi na barabara ni nzuri , pja umeme upo mita chache tuu kufika kwenye kiwanja. . Karibu tuwasiliane kwa mwenye uhitaji
  3. genius26

    Plot for sale at Chanika

    20M*24M , kipo chanika lukooni , kutoka barabara ya rami(videte) nikama 500M na kutoka chanika stendi 900M . Njia ni nzuri ,panafikika kirahisi kwa gari , umeme upo karibu na nisehemu iliyojengeka vizuri .Bei 4M kwa taarifa zaid karibu PM
Back
Top Bottom