Pata kiwanja kwa Tsh 2M

genius26

Member
Feb 8, 2017
44
25
Nauza kiwamja maeneo ya chanika - Lukooni
12M*24M , vipo viwili vimefwatana vyote ni 12*24M , bei ni 2M@
Panafikika kirahisi na barabara ni nzuri , pja umeme upo mita chache tuu kufika kwenye kiwanja. .
Karibu tuwasiliane kwa mwenye uhitaji
 
Nauza kiwamja maeneo ya chanika - Lukooni
12M*12M , vipo viwili vimefwatana vyote ni 12*12M , bei ni 2M@

Kwa hio vyote viwili ni mil 4
 
Nauza kiwamja maeneo ya chanika - Lukooni
12M*12M , vipo viwili vimefwatana vyote ni 12*12M , bei ni 2M@
Panafikika kirahisi na barabara ni nzuri , pja umeme upo mita chache tuu kufika kwenye kiwanja. .
Karibu tuwasiliane kwa mwenye uhitaji
Mkuu afadhali useme unauza kiwanja kimoja 12*24 bei tzs 4m maanake 12*12 ni kidogo sana.
 
kiwanja ni kimoja kina 24M*24M , ila nimekigawa katikati ndio vimetoka viwili ambavyo kila kimoja ni 2M , ila kma uwezo wa kuchokua chote upo nisawa na bei ni4M , kuhusu picha nitaleta kwa sasa nipo chuoni thus why nimedelay
 
Mkuu kiwanja cha 24*24 ukikigawa mara mbili si sawa utapata viwanja viwili vya ukubwa wa 12*24. Hebu fafanua vizuri kabla hujagawa kilikuwa na ukubwa gani??
 
Mkuu, viwanja viwili vya 12×12 haviwezi kuwa 24×24 bali jumla vitakuwa 12×24.. ambacho bado ni kidogo sana...
nilikosea figure ila dhumuni langu nimaanishe 12*24 baada ya kukigawa , ambapo kama nikiviunganisha ndio napata 24*24M
Asante
 
kiwanja ni kimoja kina 24M*24M , ila nimekigawa katikati ndio vimetoka viwili ambavyo kila kimoja ni 2M , ila kma uwezo wa kuchokua chote upo nisawa na bei ni4M , kuhusu picha nitaleta kwa sasa nipo chuoni thus why nimedelay
hicho kiwanja au sebule. uza kiwanja cha 24x24 mil. 2 tuje fasta. nyie ndio mnafanya jiji linakuwa uswahilini. hapo 12 kwa 24 barabara itapita wapi, mitaro ya maji machafu itapita wapi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom