Search results

  1. Niccolo Machiavelli

    Should Google also charge Tanzanians to open account, register email etc?

    Mwigulu anajaribu kufanya watu wamchukie Rais. Yaani kila kitu utaskia “Rais anataka kujenga vituo vya afya”. “Rais anataka kujenga barabara vijijini” He’s trying to exclude himself from this “tozo” mess.
  2. Niccolo Machiavelli

    Kabla ya kuleta hizi tozo Serikali pesa ilikuwa inatoa wapi?

    Pesa zinaenda kwenye SGR na Bwawa la Nyerere. Wala usiumize kichwa mkuu!
  3. Niccolo Machiavelli

    The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Jitahidi sana usiharibu reputation yako uliyojitengenezea kwa miaka zaidi ya 20. Ukifa leo sidhan kama reaction ya watu itakua kama ungekufa miaka 5 nyuma. Case Study: Mama Lwakatare.
  4. Niccolo Machiavelli

    Airtel kidogo wanivunjie ndoa yangu leo.

    Leo mida saa tisa ofisini mke wangu kanipigia simu. Cha ajabu kuna mdada kapokea simu akidai ile ni namba yake amepigiwa. Mke wangu akapata hofu huenda nipo kwa mchepuko. Mungu amesaidia aisee, wife kampigia co-worker video call akoneshwa nipo kwenye ofisi yangu napiga kazi. Kaoneshwa na simu...
  5. Niccolo Machiavelli

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

    “Ukienda kununua vitu kwa fedha yako ili uonekane una hela jua unafukarisha Serikali yetu”
  6. Niccolo Machiavelli

    Utabiri: Baada ya miaka 10, wanaume nchini wataunda vikundi vya “Haki Sawa” na kudai 50-50.

    Ni muda mrefu nchi nyingi duniani zimewekeza nguvu kwa wanawake. Lakini kuna baadhi ya nchi kama Japan hili jambo wanalichukulia sio kwa mzaa kama nchi zetu za Kiafrica hususan Tanzania. Kwa sasa kama ofisi inatoa ajira kwa vijana 6, lazima 4 au 5 wawe wanawake kwa asilimia kubwa. Kama kuna...
  7. Niccolo Machiavelli

    Wahitimu wenye alama za kawaida wanafanya vizuri sana kwenye kazi

    Umejaribu kuuliza kuhusu GPA za wafanyakazi wa CRDB na NMB ?
  8. Niccolo Machiavelli

    Wahitimu wenye alama za kawaida wanafanya vizuri sana kwenye kazi

    Huyo atakua alifanya kazi serikalini miaka ya 90.
  9. Niccolo Machiavelli

    Zito Kabwe huna hoja tena umebaki na uongo tu

    Yaani Zitto akwamishe maendeleo ya Kigoma. Kwa nguvu zipi alizonazo Zitto?....Embu kua serious kidogo Mkuu!
  10. Niccolo Machiavelli

    Wahitimu wenye alama za kawaida wanafanya vizuri sana kwenye kazi

    Nilipata 3.9 mkuu. Mapendekezo nishayapeleka kwa wakuu zangu!
  11. Niccolo Machiavelli

    Wahitimu wenye alama za kawaida wanafanya vizuri sana kwenye kazi

    Kuna kampuni kubwa hapa mjini nafahamu wameanza kutokuangalia academic papers.
  12. Niccolo Machiavelli

    Wahitimu wenye alama za kawaida wanafanya vizuri sana kwenye kazi

    Mtu aliepata 1st class anategemewa kupata marks za juu sana kwenye assessment yeyote ofisini.
  13. Niccolo Machiavelli

    Wahitimu wenye alama za kawaida wanafanya vizuri sana kwenye kazi

    Mimi ni HR katika benki mmoja hapa Tanzania. Kila baada ya miaka 2 huwa tuna utaratibu wa kuajiri vijana waliohitimu chuo kwa program ya “Graduate Management Trainees (GMT). Hawa GMT recruits huwa tunachukua First Class na Upper Second na program huchukua miaka 2 ya mafunzo katika department...
  14. Niccolo Machiavelli

    Zuchu achaguliwa tuzo ya Afrimma

    Wachache watakuelewa! Expectations vs. Reality!
  15. Niccolo Machiavelli

    Mlimani City sasa hivi: Kero hii haikubaliki!!

    NMB Bima Marathon! Kipindi cha uchaguzi hiki mkuu. Kampeni popote![emoji16]
  16. Niccolo Machiavelli

    Vyombo vya Usalama vichunguze vijana wa Nigeria waliopo/wanaoingia nchini

    Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa Nigeria nchi mbali mbali duniani wakikamatwa kwa makosa ya utapeli/wizi mitandaoni. Mfano mzuri ni kijana anaejulikana kwa jina la Hushpapi ambaye alikamatwa hivi majuzi huko Dubai na kukutwa na $40 million. Huyu jamaa alikua akionesha utajiri wa nyumba ya...
Back
Top Bottom