Search results

  1. Baba Munah

    Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Mbunge Mwingine Aibuka na Kutaja Mali Hizi Nyingine za Kutisha Anazomiliki Makonda,Amtaka Aeleze Wapi Alikozipata..!!! 12 minutes ago [https://2] Sakata la mali zinazodaiwa za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda limeendelea kulitikisa bunge baada ya Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini...
  2. Baba Munah

    Spika amuokoa Zitto kukamatwa na Police Bungeni

    KITENDO cha Jeshi la Polisi kutaka kumkamata Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, juzi baada ya kutoka bungeni, kilimfanya mbunge huyo kuondoka bungeni usiku wa manane kuamkia jana kwa msaada wa Spika wa Bunge, Job Ndugai. Juzi, wakati Zitto akiwasilisha hoja bungeni kuhusu...
  3. Baba Munah

    Viongozi wa kidini wamuunga mkono RC Makonda

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amesema dawa za kulevya zinateketeza nguvukazi ya Taifa, jambo ambalo halipaswi kuachwa liendelee kumea. Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Sheikh Alhad amesema baraza la viongozi wa dini la kupambana na...
  4. Baba Munah

    Mkuu wa mkoa wa Tanga nae atangaza vita dhidi ya dawa za kulevya

    Wapo wakina Gulamu,Sasi,tanga petroleum wote makonda aliwataja
  5. Baba Munah

    Mkuu wa mkoa wa Tanga nae atangaza vita dhidi ya dawa za kulevya

    Mkuu wa mkoa wa Tanga Martin Shigella ametangaza rasmi vita dhidi ya dawa za kulevya kwa kuwataka wenyeji wa maeneo ya mpakani kushirikiana na serikali kwa kutoa taarifa ya kuwafichua na uhalifu huo. Kauli hiyo ameitoa wakati akizindua zoezi la uandikishaji wa wa wahamiaji walowezi mkoani hapa...
  6. Baba Munah

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Mahakama Yatupilia Mbali Pingamizi la Serikali......Yampa Tundu Lissu DHAMANA Ya Milioni 20 1 hour ago [https://4] Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka manne ya uchochezi. Wakili wa Serikali Kishenyi...
  7. Baba Munah

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Kaimu Katibu wa Tume ya Mipango Wizara ya Fedha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, jana tarehe 08 Februari, 2017 alifanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (Terminal 3) na kuagiza shughuli za ujenzi wa uwanja huo...
  8. Baba Munah

    Kauli ya Freeman Mbowe Baada ya Makonda Kumtaja kwenye Orodha ya Wahusika wa Madawa ya Kulevya

    Muda mfupi baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwaita polisi kuhojiwa kwa tuhuma mbalimbali, baadhi ya walioitwa wamelaani hatua hiyo wakisema inalenga kuwachafulia majina na heshima mbele ya jamii. Miongoni mwa waliotwa ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ambaye...
  9. Baba Munah

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Hivi unadhani kile kinachoendelea kuhusu sakata la dawa za kulevya nchini,athari zake zikoje kitaifa??
  10. Baba Munah

    Upinzani wapinga Mbowe kutajwa sakata la Madawa ya kulevya

    Ww una hofu gan kwan tulia uone mwisho
  11. Baba Munah

    Korti yatupa pingamizi la Lema

    Wanataka wamfunge alafu mahakaman bdae
  12. Baba Munah

    Upinzani wapinga Mbowe kutajwa sakata la Madawa ya kulevya

    Ukitaka kuishi kweny ardhi ya mtabila lzm ufate anayotaka mtabila na uikane nafc yako mbele yake. Hapo utaweza kuishi kwa amani ila eddy kuku anaetaga hachinjwi
  13. Baba Munah

    Korti yatupa pingamizi la Lema

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imetupa pingamizi la mawakili wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema la kuitaka isisikilize kesi ya kuhamasisha maandamano ya UKUTA, bali kwanza ifikishwe Mahakama ya Katiba. Lema, ambaye ni mbunge kupitia CHADEMA, anakabiliwa na kesi hiyo akidaiwa kuhamasisha...
  14. Baba Munah

    Upinzani wapinga Mbowe kutajwa sakata la Madawa ya kulevya

    Wabunge Wapinga Mbowe Kutajwa na Makonda,Zitto Kabwe Atoa Povu Hili..!!! Hatua ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kumtaja Kiongozi wa Upinzani bungeni, Freeman Mbowe kufika katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini hapo kesho kuhojiwa, imewachefua baadhi ya wabunge. Wabunge waliohojiwa...
  15. Baba Munah

    Kamanda Sirro: Bado tunamshikilia Tundu Lissu,tunataka kuthibitisha kama alitenda makosa

    Kamanda Sirro Kaeleza Kinachoendelea Baada ya Kumkamata Tundu Lissu MPEKUZI / 11 hours ago [https://3] Kamanda wa kanda maalumu ya Dsm,Kamanda Sirro amewaambia waandishi wa habari kuwa bado wanaendelea kumshikilia Tundu Lissu katika kituo kikuu cha Polisi ikiwa ni siku ya tatu bila dhamana...
  16. Baba Munah

    DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

    Makonda Aitwa Bungeni Kujieleza......Ni Baada ya Kutoa Kauli za Dharau Dhidi ya Bunge MPEKUZI / 9 hours ago [https://1] Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja limewaita mbele ya Kamati yake ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, na...
  17. Baba Munah

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda ametupa jiwe gizani kwa kumjibu Wema Sepetu baada ya siku chache zilizopita kuenea kwa sauti yake mitandaoni akiwa mahabusu huku akimlalamikia mkuu huyo wa mkoa kushindwa kulitaja jina la Agness Masogange kwenye orodha ya kwanza ya watuhumiwa wa...
  18. Baba Munah

    Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    Rais Magufuli apigilia msumari Sakata la Madawa ya Kulevya......Ataka Polisi Wasiangalie Umaarufu wa Mtu, Asema hiyo sio Vita ya Makonda Pekee MPEKUZI / 2 days ago [https://1] Rais Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaohusika na Dawa za Kulevya bila kuangalia...
  19. Baba Munah

    Zitto Kabwe Juu ya Hali ya Elimu ya Juu na Suala la Madawa ya Kulevya

    Juu ya Hali ya Elimu ya Juu na Suala la Madawa ya Kulevya Hotuba Yangu Bungeni Kuhusu Taarifa za Kamati za Bunge za Huduma na Maendeleo ya Jamii na Masuala ya UKIMWI Mheshimiwa Spika, Nasimama kuunga mkono Taarifa za Kamati zilizowasilishwa katika Bunge lako Tukufu leo. Nawapongeza sana...
Back
Top Bottom