1. Breaking Bad ( Best TV Series of All Time)
2. Chernobyl
3. The Ozark
4. Better Call Saul
5. Banshee
6. The Last of Us
7. The Brave
8. Six
9. Queen of South
10. Blacklist
11. Blindspot
12. Strike Back
13. The Last Ship
14. Magnum P.I
15. Shooter
Hutojutia Muda wako Kutazama TV-Series yoyote...
Acha Kidanganya Watu Mzee. Tmobile Ni Moja ya Kampuni ya Mtandao Mkubwa Duniani. Hata Unlocking Service za Tmobile ni Server/Credits based hvyo ni Expensive Ukilinganisha na Mitandao Mingine. Inakupasa pia Ujue Kuwa Cmu zote za Tmobile huwa ni GSM/WCDMA tofauti na mamitandao ya Kijinga Kama...
Android Ni User Friendly OS. Kwanza Matumizi Yake Ni Rahisi Ukilinganisha Na IOS, Android Inampa Uhuru Mtumiaji Kufanya Customizations and Tweaks Kuanzia Simple customizations hadi Zile Advanced tweaks Like Custom Roms ambazo huwa zina More features Compared to Stock roms. Kwa Mfano, Unaweza...
Hii ina extension ya .APK so ni kwa ajili Ya Android. Unaweza tumia zile Android emulator kwenye PC ukarun Android APPS. Emulators Kama Bluestacks an NOX App Player
Habari Wanajamvi, Kwa Wale Ambao Ni Wapenzi Wa Movies/TV Series au hata Wale Ambao Huwekeza Muda Wao Wa Kupumzika Kwenye Movies Basi Leo Naomba Tushirikishane Jambo Jema. Hii Ni Modded App Ya Netflix Ambayo Itakupa Premium Membership For Free Bila Kulipa Hata Cent na Ni Lifetime.
App Iko Kwenye...
Habari za muda na siku JF members? Hopefully mko vema na harakati zinaendelea.
Nilishawahi kuwa na threads kadhaa hapa jukwaani ambapo threads zangu zililenga kwenye mobile software fix, tips, tricks and solutions. Kuna ambao tulikuwa pamoja lakini pia kulikuwa na waliowahi nikosoa eti kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.