Search results

  1. S

    Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    huyu mussa hana cha kutuambia sisi JF muulizeni shigongo anamjua vizuri sana huyu
  2. S

    Muslim Hassanali awataka Waziri wa Mambo ya Ndani na wa Nje na Balozi wa USA wamshughulikie Mange Kimambi

    naomba list ya bodi ya wadhamini wa Bakwata na elimu zao. Hapo kwenye elimu tutajua tatizo liko wapi na wanatumia criteria ipi kuchagua viongozi wao
  3. S

    Dili la suala Energy kununua Pan Africa Energy: Ikulu iache kiherehere

    Kwa hiyo mkuu wa nchi hawaamini watendaji na wizara zake au tuelewe vipi? kuna mdau katoa ushauri achukue wizara kama 5 hivi ziwe za kwake kisha avunje hao akina TPDC na wengineo
  4. S

    Zanzibar ya Shein haina Ufisadi au CUF wamekuwa impotent?

    Duh umenipa jibu la kueleweka mkuu
  5. S

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    sijaelewa kitu hapo
  6. S

    Siri ya viongozi walio chini ya Rais Magufuli kutoshirikisha waTanzania kuhusu Master Plan ya miji wa Dodoma

    ABUJA.... lanned Location and Distribution of Institutional and Administrative Buildings (Source: The Master Plan for Abuja, IPA, page 89)
  7. S

    Siri ya viongozi walio chini ya Rais Magufuli kutoshirikisha waTanzania kuhusu Master Plan ya miji wa Dodoma

    NYINYI NDIO ENEMIES OF PROGRESS MASTER PLAN YA ABUJA JHII HAPA: REVIEW OF THE FEDERAL CAPITAL TERRITORY MASTER PLAN
  8. S

    Siri ya viongozi walio chini ya Rais Magufuli kutoshirikisha waTanzania kuhusu Master Plan ya miji wa Dodoma

    Civil Servants wetu bado wako kwenye karne ya 7 ni vigumu sana ku keep up na dunia tuliyonayo ambayo watawaliwa wanahoji mabo mbali mbali Sielewi why hawataki kabisa wananchi wajue plans za maendeleo na investment opportunities na incentives zinanzopatikana Naamini hii iko chini Waziri Mkuu...
  9. S

    Siri ya viongozi walio chini ya Rais Magufuli kutoshirikisha waTanzania kuhusu Master Plan ya miji wa Dodoma

    Hivi kuna ubaya gani wakawa na blog au website ambayo itaonyesha Master plan ya huu mji na pia wakaweka wazi nini kitafanywa wapi na kwa nini hawajataka kufanya Public Consultation kwenye hili jambo ? Kufanya Capital City Planning ni vyema wadau mbali mbali wakahusishwa na kutoa maoni yao...
  10. S

    Genevieve Sangudi

    ,,,
  11. S

    Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

    makes sense sasa zile story zingine magazetini zilitoka wapi?
  12. S

    Zanzibar ya Shein haina Ufisadi au CUF wamekuwa impotent?

    Inashangaza sana kuona kila kukicha huku mainland tunatumbua majipu, tunafukuza kazi watu na tunaburuza watu mahakamani lakini cha ajabu Shein na serikali yake wamekuwa kimya utadhani kuwa zanzibar hakuna ufisadi na hasa ukizingatia wao wana skendo ya airport na za unga. CUF nao wako kimya...
Back
Top Bottom