Search results

  1. Chakunyuma

    Kuna uhusiano gani wa CC za gari na ulaji mafuta?

    Sasa ninataka kujua cc 1000 inakula mafuta 1lita kwa km ngapi? cc 2000 pia. Ahsante
  2. Chakunyuma

    Series (Special thread)

    Inajaribu ku-depict ulimwengu wa maajabu.
  3. Chakunyuma

    Series (Special thread)

    Kwa mimi hizi pia: -War&peace. -The legend of the seeker. -Beauty&beast. -Devious Maids.
  4. Chakunyuma

    Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Hongera sana maana hapa ndipo tunapata latest news wakati wote!
  5. Chakunyuma

    Lowassa will win a landslide

    Let's vote and see what will happen thereafter!
  6. Chakunyuma

    CNN Republican gop debate tomorrow

    Nimeona! kama sio ancestor wake wanatoka Masasi basi itakuwa northern Mozambique.
  7. Chakunyuma

    CNN Republican gop debate tomorrow

    Nimeona! kama sio ancestor wake wanatoka Masasi basi itakuwa northern Mozambique.
  8. Chakunyuma

    Tamko la Baraza la Habari Tanzania kuhusu madai ya CCM juu ya ushiriki wake katika midahalo ya Urais

    Ni aibu kwa taifa machoni mwa mataifa kuleta ubabaishaji. Tujirekebishe.
  9. Chakunyuma

    Namshangaa sana Magufuli

    Ungeweka paragraph ingekuwa inasomeka vizuri zaidi!
  10. Chakunyuma

    Kijitabu Cha Orodha ya mafisadi wa Elimu Tanzania chagombewa sokoni

    Ulikipata na Mimi unipatie?!?
  11. Chakunyuma

    Swali la ugomvi: Mnataka vipi mabadiliko wakati tayari mmebadilika?

    Anainadi ilani ya ukawa/chadema ambayo inasema kutakuwa na katiba mpya.
  12. Chakunyuma

    CNN Republican gop debate tomorrow

    All the best Ben!
  13. Chakunyuma

    Ajali Segera: Basi la kampuni ya Metro lapata ajali, baadhi ya abiria wapoteza maisha

    Pole wafiwa!rip! Umakini unahitajika katika usafirishaji kwani maafa yake ni makubwa.
  14. Chakunyuma

    Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

    Hiyo article imeandikwa na kinana kwenye gazette la the hill. Kwanini upotoshe?
  15. Chakunyuma

    Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki

    Rip marehemu! Inasikitisha kuwa na hoja tofauti kupelekee mauaji. Nec ichukue hatua.
  16. Chakunyuma

    Makubwa ya Lowassa

    Mgogoro wa mipaka ni Kati ya Tanzania na Malawi sio msumbiji #correction.
  17. Chakunyuma

    Watu wawili wafariki kwenye mkutano wa CCM uwanja wa Jamhuri Morogoro

    Rip waliofariki. Haya mambo ya watu kukanyagana Mara nyingi hutokea India sasa Tanzania hii ni Mara ya kwanza msongamano wa watu kwenye uwanja. Sababu kubwa ni kutokuwa na good arrangement and planning! Sasa hili halipaswi kutokea na waliosababisha vifo wachukuliwe hatua. Pia nimefuatilia habari...
Back
Top Bottom