Search results

  1. farujeuri

    Bora Mondi wa Mbagala kuliko wa Madale masaa 5 yaliyopita

    Wanaoucheza muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayetamba kwa mafanikio anapita kwenye barabara ya kimuziki iliyochongwa na kuwekwa lami kwa tabu na Saleh Jabir ambaye kwa mara...
  2. farujeuri

    Nitangulize heshma kwenu Jaman naomben kujua jina la hii movie

    Samahanin wakuu nisaidieni
  3. farujeuri

    Naombeni msaada wenu kuhusu hili linamlomtokea wangu

    Nitangulize salamu na heshima kwenu wana JF mimi ni mwanamme wa makamo ilipofika mwaka 2016 mwezi wa 8 nilifanikiwa kuuaga ukapela ilipofika mwaka 2017 mwezi wa 7 nilijaaliwa kuitwa baba kwa Mara ya kwanza. Mpaka asaiv mtoto Wangu ana umri wa miezi 6 na siku kadhaaa sasa jana natoka...
  4. farujeuri

    Je kwanini kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja au zinaa imekatazwa?

    Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu. Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne: • PROTEIN, • ACID, • SPERM au CHROMOSOME, • VIRUS. PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food Substance” inayorutubisha mwili. Substance hii inapatikana ndani ya manii na pia watu wa mambo ya reproduction system (mfumo wa...
  5. farujeuri

    Wakuuu naombeni majibu yenu

    Naitaji zile sijui nisemeje ili nieleweke ila nahisi mtanielewa... Naitaji zile nanilii za kuulia mbu zile ambazo unqchomeka katika umeme alafu inakuwa kama INA ki tube light kikiwaka kile mbu akifata anapigwa short.. Hii nnayozungumzia ni ile ya kuchomeka ktk umeme .... Naitaji kujua naweza...
  6. farujeuri

    Ni app gani ninaweza kudownload video HD ktk smart phone

    Eti ni app gani ninaweza kudownload video HD ktk smart phone Sent using Jamii Forums mobile app
  7. farujeuri

    Naombeni kujua hii kitu

    [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Back
Top Bottom