Search results

  1. byongo

    Migebuka mibichi na Mikavu Inapatikana

    Hapana niliacha zamani sana..humu nina miaka dahari sijaingia
  2. byongo

    Migebuka mibichi na Mikavu Inapatikana

    Yaan na mm ndio naona leo[emoji25]
  3. byongo

    Mapenzi ya siku hizi ya kuviziana

    Daby... It has been long,,upogoo?
  4. byongo

    Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

    Nakubaliana na mtoa mada kwa 80%
  5. byongo

    Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

    kwetu watoto wa kiume wanatahiriwa wakiwa na weeks tangu kuzaliwa...akitoka 40 kashapona kidonda.. habari za uume utakua mfupi au mrefu...sijui kwa kwli
  6. byongo

    Changamoto niliyopata nilipoteuliwa kuwa mweka hazina wa kamati ya harusi

    Sifa ya kwanza ni uwe muislamu,sifa ya pili mwanamke...tuma message ya kawaida to 0654670420 utapewa utaratibu..kiingilio ni sh 5000...na sadaqa ya kila mwezi kima cha chini ni sh 5000
  7. byongo

    Changamoto niliyopata nilipoteuliwa kuwa mweka hazina wa kamati ya harusi

    siwezi kusema naila sababu inatokea mara chache mno...yaan umeme ukatike na iwe usiku siwezi kwenda kwny mpesa au tgopesa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. byongo

    Changamoto niliyopata nilipoteuliwa kuwa mweka hazina wa kamati ya harusi

    Me naona ni nidhamu tu.. Mimi ni mueka hazina wa kikundi chetu cha sadaqa cha wanawake watupu...Ninakaa na zaidi ya 5M kwa mwaka na sijawahi kula hela yao...na hata ikitokea nmeishiwa luku usiku nikanunua kwa hela ya sadaqa (hela zinakaa kwny simu) basi lazima niirudishe lazima!!! Muhimu ni...
  9. byongo

    Napitia katika changamoto kubwa

    Jamn Dabyyy[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. byongo

    Hivi ni kosa mwislam kusikiliza nyimbo za injili?

    Mziki unaouskiliza unaaacha athari katika nafsi yako..ndio maana waislam tumesisitizwa sana kusoma quran ili tupate athari ya darsa lililomo humo.. Anyways hakuna jipya mwanadamu ataimba ambalo hakipo katika quran na mafundisho ya mtume wetu
  11. byongo

    Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

    ahsanteee
  12. byongo

    Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

    [emoji3][emoji3][emoji3] Potezea tuu
  13. byongo

    Hamisa na Majizzo warudiana

    Na hata angepewa taarifa angekubali?
  14. byongo

    Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

    Ninae basi wa kukupa.. Huyo ulonae sa hvi kakukamatajeeee
  15. byongo

    Hamisa na Majizzo warudiana

    Ya Ndani huyajui shoga.. Na asili ya wanaume ni tamaa..hata uwe mzuri vipiii!
  16. byongo

    Hamisa na Majizzo warudiana

    wambea mjini tupo wengi..[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Back
Top Bottom