Ndiyo maana umewekewa muda na tarehe. Kama unaona haijaingia akilini Fanya utafiti. Lakini ujue hari tuliyonayo watanzania kwa sasa ndiyo hiyo.
Kwa uelewa wangu nadhan JPM akiangushwa, Bashite hatakuwa salama. That's why ni lazima afanye kila analoweza ili kunusuru hari hiyo, though time will tell.
Hiyo approach tu ndo imeenda kushoto kido coz informed concert kwenye Huduma za afya ni lazima. Wengine tunajijua hari zetu so ukipima afu ukakuta nipo +ve bila concert ni kosa. Ila kwa sasa kila client anayevisit hospital lazima aulizwe status yake na ashawishiwe kupima, akigoma basi
Sasa zaidi ya maabara, vipimo vinatolewa wapi?
Sema saivi kila anayehudhuria hospitali za umma lazima aulizwe status yake ya maambukizi then anashawishiwa kupima tangu anapomuona daktari ili akikubali vile akienda maabara tu wamuunganishie.
Mafuta yapo ya aina nyingi, tafuta mafuta yenye ingredient zinazofit nywele zako, ila kama ishu ni kutokupenda mafuta, jitahidi usiwe na nywele ndefu na uwe unazitana kila utokapo kuoga.
Mafuta yanafanya kazi ya kuirainisha ngozi, hivyo hata ngozi iliyozeeka inatoka kirahisi na kuacha ngozi...
Kila baada ya kutoka kuoga kama unanywele ndefu kidogo, jitahidi kuwa na utaratibu wa kupaka mafuta na kuchana nywele hata kwa kitana kidogo, itakusaidia kuondokana na tatizo hilo.
Kwa kawaida hii husababishwa sana na wanaume wengi kutokupenda kupaka mafuta ya nywele kichwani na hivyo kufanya...
Sina hakika kwenye macho, lkn ushushaji wa IQ upo likely kwenye baadhi ya magonjwa. Siyo yote. MF, Kifafa kinashusha sana, Schizophrenia pia inaweza kushusha km haikudhibitiwa mapema na mengineyo.
Mkuu, hujawahi kuona namna vibuti vinavyotesaga? Au mahusiano mabovu ndani ya ndoa au wapendanao......mosongo wa mawazo to depression very common hasa kwa wanawake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.