Search results

  1. Dividend

    Kufanya mauzo makubwa sio kupata faida

    Unavyosema inatakiwa mfanyabiashara apandishe bei ili apate faida unamaanisha nini? Ninachojua bei ya vitu vingi vya maduka haya ya mtaani bei zake zinajulikana.
  2. Dividend

    Dkt. Mwinyi aondoa kodi ya sukari Zanzibar

    Watu wa bara wataifidia hiyo VAT
  3. Dividend

    JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

    Ujinga mtupu, unamwalika rais wa nchi nyingine aje kuangalia maigizo!
  4. Dividend

    Nimechanganyikiwa msaada wa haraka

    Tatizo wife material hana shape, alafu single mama ana mshape wa hatari. Nafikiri hicho ndio kinamfanya jamaa ashindwe kuamua
  5. Dividend

    Huwa unawamudu vipi wateja wapenda punguzo?

    Kuna siku nilikuwa na stress zangu, mteja akauliza hiyo bidhaa fulani hapo sh ngapi? Nikamtajia bei. Eti anashtuka haaa mbona ghali sana, mbona pale marenga wanauza elfu 15 tu. Nikamwambia sasa hapa ni kwa marenga. Nafikiri aliogopa nilivyomjibu, akainunua ile bidhaa. Lakini nilijistukia...
  6. Dividend

    Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

    Ukimbishia mleta uzi unalamba tusi lako unakaa pembeni.... Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Dividend

    MACHIMBONI: Sitosahau nilivyonusurika kufa

    Yap jamaa ame summary vizuri sana. Sio kama za wale jamaa wa itaendelea..... Mtu anaweka unnecessary things ilimradi iwe na itaendelea
  8. Dividend

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Najichanganya nini sasa. Kabla hatujaendelea, ebu katafute difference between christ and Christianity
  9. Dividend

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Hapa nimepata kitu... Shukrani Ila kama waliwai kuwa na huo uteule, basi tuwaombee huo uteule wao urudi labda watakaa kwa amani. Inawezekana kutokana na dhambi yao ya kuukataa uteule ndio maana wanaishi kwa wasiwasi miaka yote km nguchiro akiwa porini
  10. Dividend

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Aise mkuu upo sawa kweli? Mbona unalazimisha ubishi ambao haupo. Nani kasema Yesu alikuwa mkristo? Yeye mwenyewe Yesu ndio alikuwa kristo alafu wafuasi wake ndio wakristo. Mimi kule mwanzoni nilitaka kukuweka sawa, kukwambia hakuna mtu anayesema Yesu alikuwa mkristo, bali yeye ndio...
  11. Dividend

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Sasa hapa mbona tunaongea lugha moja boss, kwa maana ya wafuasi wa mpakwa mafuta au anointed one. Sasa kama unataka kusema Yesu hakuwa Kristo(kwa maana ya Kristo ina maana ni mpakwa mafuta) hiyo ni mada nyingine inatakiwa ichambuliwe kwa kina zaidi.
  12. Dividend

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Eti Yesu hakuwa Mkristo, hahaha. Yesu ndio alikuwa anaitwa Kristo. So Wafuasi wake ndio wanaitwa wakristo.
  13. Dividend

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Labda utusaidie wewe, ni lini waliondolewa kuwa taifa teule?
  14. Dividend

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Hata kipindi kile wa Israel wakiwa Misri walimkataa Mungu wao, wakamtumikia mungu wa farao lkn Mungu wao hakuwaacha alikuja kuwarudia baada ya miaka 400. Wa Israel walivyokuwa jangwa wakienda kaanani, walimkataa Mungu wao lakini Mungu wao hakuwaacha bado alindelea kuwapigania. Hata baada ya...
  15. Dividend

    Dada yangu kama hutaki bora usimpe kuliko kunyanyasia tamu mtoto wa mama mkwe

    Huo ushahidi mpelekee baba yako, mwana izaya wewe.
  16. Dividend

    Dada yangu kama hutaki bora usimpe kuliko kunyanyasia tamu mtoto wa mama mkwe

    Acha kukashifu makabila ya watu mpumbavu wewe
  17. Dividend

    Live Kutoka Mbinguni/ Welcome back to Heaven

    Hapo kwenye kula maembe ndio pamenitia mashaka
  18. Dividend

    Kamanda wa vitani wa Hizbullah: Tumejiweka tayari kuingia Israel na kuuteka mji wa Al-Jalil

    Waarabu ni magaidi! So bandari yetu tumewapa magaidi?
  19. Dividend

    Pwani: Kisiju watu wanaswali kuliko kazi

    Duuh brother.... Are you OK?
  20. Dividend

    Mwanamke wangu ameoga nje usiku watu wamelala

    Sawa na neno lako lisivunje sheria
Back
Top Bottom