Mimi niliachana kabisa na hii kasumba,washikaji zangu niliwaeleza kwa uwazi kabisa kuwa ndoa yangu itafungiwa kijijini kwetu atakayeweza kunichangia fine atakayeshindwa pia fine.
Changamoto kidogo ilikuwa kwa mke wangu ambaye kwa asili amezaliwa na kukulia mjini,nilipomueleza kuhusu mpango...
Barabara ya Simbo Ilagala mpaka Kalema Rukwa ni ya muhimu sana kwa uchumi wa watu wa kusini lakini haizungumziwi popote na wabunge wote wawili wa eneo hili nikama hawapo.
Ukimsikiliza vizuri yule mzee aliyetambulishwa na ITV kama mzee wa kanisa Katoliki japo kanisa katoliki halina wazee wa kanisa, alieeleza vizuri kuwa eneo lile kanisa walilikabidhi serikali chini ya uongozi wa Askofu Msaidizi wa wakati huu Dr. Methodius Kilaini kwa sharti kuwa eneo hilo lijengwe...
Tegeta kwa ndevu pale ni balaa, niliwahi kununua nyama kilo 3, nikaenda kwa mama muuza mchele nikamuomba anipimie ile nyama kwenye mzani wake ukasoma 2.25 kg nikarudi kwenye ile bucha nikawaeleza waipime tena upya maana na mashaka na kipimo huku nikiwa mkali kweli kweli, wale vijana walichukua...
Njiapanda ya mbuyuni, ni njiapanda ya barabara ya Kunduchi na Salasala barabara kuu ya Bagamoyo kabla ya Tegeta, ni kweli ajali hiyo imetokea nimepita hapo alfajiri na kukuta hali hiyo.
Nimeoa mwanamke wa Kiha kwa hakika najisia fahari sana kwa kupata mwanamke wa ndoto ya maisha yangu, pamoja na kuwa wote ni waajiliwa lakini anatimiza majukumu ya nyumbani ipasavyo haswa kuanzia kuwatunza watoto, mpishi mzuri sana, usafi wa nyumba, heshima kubwa kwa mume, mahusiano mazuri na...
Looo pole sana kwa maswaibu yaliyokukuta, kama ni kweli ni vema ungewasiliana na wahusika (TTCL) moja kwa moja lakini kwa jinsi ninavyoijua TTCL kama mtumiaji wa huduma zake nina mashaka na maelezo yako,huenda umetumwa na wabaya wa TTCL kuichafu maana inawakimbiza haswa kweli kwenye soko la...
Soko la Tegeta moja ya masoko makubwa hapa Dar limetekwa na Waha, soko la Bunju ni waha watupu, maeneo haya ya Tegeta -Bunju Waha ni wengi, na kwa ukweli hapa Dar hakuna kona utayokosa Waha na biashara zao za matunda.
TTCL haiwezi kufa hata siku moja,ndiyo imeshikilia muhimili wa mawasiliano ya nchi, labda kwa kuwa mtazamo wako wa mawasiliano umelala kwenye kupiga simu tu, geuza mtazamo wako wa mawasiliano kwenye mambo ya data hapo ndiyo utaijua TTCL.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.