Search results

  1. Eng Mose

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaji muffler ya Nissan Murano 2005, ya kati na ya nyuma kabisa..
  2. Eng Mose

    Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    Ndio maana yake. Na ukienda kwenye hizo garage hukuti Nissan imelala au benz, utakuta tu za Toyota hadi zimeotea majani kwa chini
  3. Eng Mose

    Kwa matatizo ya gari

    Mkuu naomba msaada wa Engine oil nzuri kwa Nissan Murano ambayo tayari ina 150k km+. Nasikia kila kilometre zinavyosogea oil hubadilika. Je ni sawa?
  4. Eng Mose

    Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    Halafu hii nipeleke wapi, kama una unga unga maisha ndio utawaza hilo ila kama gari umelipenda utalihudumia mkuu. Nissan haimuhitaji masikini wa kusema gari ni asset wakati gari ni liability
  5. Eng Mose

    Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    Sasa mimi ni mpenzi mkubwa wa Nissan, tema Murano. Ninaimiliki ila imenitesa sana sio kidogo ila imekuja kutulia hadi nashangaa. Ipo hv, nilipoinunua hii gari sikupata shida. Siku moja nikampa fundi anifanyie service ya oil ya gear box na Engine. Fundi akanunua oil ya Puma(manjis Arusha) badala...
  6. Eng Mose

    Nimelidharau sana gazeti la Mwananchi, kwa habari ya Msigwa wamepotoka

    Hata yeye mwenyewe hajui limeandikwaje naona anarukaruka utafikiri Mwananchi wanamjua ili wamuombe msamaha... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Eng Mose

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nishauri mkuu, naweza kutumia bulbs za kawaida kama huna buster!? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Eng Mose

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Buster mbili za Murano kaka, na bulb zake, ziwe na mwanga wa kutosha kama za kuwinda porini Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Eng Mose

    Msaada wa kujua namba ya rangi ya gari

    Shenzi zao sasa naenda kwa kiburi kuwafundisha hiyo rangi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Eng Mose

    Msaada wa kujua namba ya rangi ya gari

    Kabisa mkuu Sijui umetumia uchawi gani hapa maana hata wauzaji walishindwa kabisa kuitambua[emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Eng Mose

    Msaada wa kujua namba ya rangi ya gari

    Mkuu #Mshana nashukuru sana ni Java Metallic Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Eng Mose

    Msaada wa kujua namba ya rangi ya gari

    Ila naona kama hii java metalic inafanania Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Eng Mose

    Msaada wa kujua namba ya rangi ya gari

    Bro nashukuru sana, ila naina kama haifananani, ila nashukuru sana maana nazidi kupata mwanga mkuu.. 3m eti kuoiga tu rangi si bora ninunue corolla au mark 2 au cheser na chenji inabaki Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Eng Mose

    Msaada wa kujua namba ya rangi ya gari

    Ndio maana nikaja humu maana najua kuna wataalamu wengi wa magari Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Eng Mose

    Msaada wa kujua namba ya rangi ya gari

    Asante mkuu, hilo gari nimelikuta mtandaoni nikaipenda hiyo rangi nimetafuta codes za hiyo rangi nikakosa., kuna siku pia nikakutana na muhindi mmoja amepiga kwenye gari lake nikamuimba aniambie akagoma ila akanielekeza kwa mpiga rangi wake ili akanioigie na mimi..., duh huyo fundi aliniambia...
  16. Eng Mose

    Msaada wa kujua namba ya rangi ya gari

    Nasubiri majibu yenubwataalam Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Eng Mose

    Msaada wa kujua namba ya rangi ya gari

    Wadau naombeni mwenye kujua namba ya hii rangi, nimezunguka sana nimekosa namba yake. Mwenye kujua naomba msaada. Nimeipenda rangi hii ndio maana naitafuta. Msaada wenu ni muhimu kwangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Eng Mose

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Kwahiyo umempigia Mwl Mwakasege kumuambia kuna uzi umeandikwa humu au... Kweli we kilaza sana
  19. Eng Mose

    Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

    *NAYASHITAKI MAKAMPUNI MANNE YA SIMU.* Bashir Yakub, Wakili.* 0714047241 Naishitaki Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel. Kwa mujibu ya Sheria Namba 12/2003 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mashtaka ya aina hii natakiwa kuyaandikia makampuni hayo taarifa kuyataka yarekebishe ndani ya siku 30...
  20. Eng Mose

    The Rock

    Makonda
Back
Top Bottom