Looking for a handsome man aged 32_40..'He should be single and ready for something serious....Awe mrefu na sio mnene iiivo, ya awe na body zuri la mazoez....mwenye sifa hizo anitafute Dm...Iam 25 of age....Okay niliwai chat na mtu wa humu ila tulivyo meet kwa mara ya kwanza sikuvutiwa nae...
Juz nilipost kutafta mwenza wangu, Namshkuru Mungu nimepata na mambo yanaenda vizur sana..
Thanks kwa wote waliotoa ushirikiano...
Nakupenda "F" na karibu kwenye maisha yangu..
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
Habari zenu wana JamiiForums,
Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.
Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.