Search results

  1. Bechu

    Nafasi za Kazi kwa watu mbalimbali, sehemu tofauti

    NAFASI ZA KAZI KWENYE MAKAMPUNI MBALI MBALI ZIMETANGAZWA LEO HII Unachotakiwa kufanya ni kuBofya kwenye link hapo kujua zaidi, then wasambazie na wenzio kwenye magroup yao watume maombi yao faster Nafasi za kazi Mohammed Enterprises Tanzania limited (METL) 2 Job Opportunities at Mohammed...
  2. Bechu

    Senene wazuri Bukoba

    Pata senene wanene wazuri kutoka bukoba. Tupo Dar es salaam, tucheki kwa namba hizi 0656005004'0759958244
  3. Bechu

    Msaada kwa anayeijua vizuri Afrika Kusini

    Kama tittle inavoelezea, naomba anaeijua vizuri south africa kuhusu upatikanaji wa kazi, mishahara yao kwa kazi tofauti tofauti kulingana na kazi, vipi upoje life security yake, kipi kinahitajika ukitaka kwenda kule, kama huna ndugu wala jamaa utafikaje kule na kazi utaipataje? Nimeuliza...
  4. Bechu

    FREE VIZA

    Anaejua jinsi ya kupata free viza kwa mfano nchi kama qatar. Na gharama yake anielimishe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Bechu

    Ajira za nje ya nchi hasa Dubai au USA

    Naomba nijuze jins ya kupata kazi nchi za nje, ziwe za oficini au makampuni. Mfano USA au Dubai. Nasikia huwa kuna ma agent ila sina uhakika na hilo. Naomba anaejua zaid anisaidie tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Bechu

    Dagaa wakavu wasiokuwa na mchanga

    Jipatie dagaa wa bukoba namba 1 wasiokuwa na mchanga hata chembe kwa bei ya jumla na rejareja. Tupo dar es salaam. Tupigie kwa namba 0656005004, 0759958244.
Back
Top Bottom