Search results

  1. mtu pori original

    Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

    Allah awalipe kheri kwani mmeushika sawasawa mlingoti wa bendera ya kiislam. Hakika hili ni jambo kubwa miongoni mwetu. Mmethubutu na mmeweza. Wangapi kwenye uwezo wakashindwa haya? Nakuombeeni allah awaweke upande wa kuume siku ya kiama inshaallah. Nitakuwepo uwanjani inshaallah.
  2. mtu pori original

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Sina ham nao hawa jamaa. Nilijiona bingwa wakat nanunua kumbe cha Kike. Michanel yao hovyo, scratch chungu nzima, yani hovyo hovyo.
  3. mtu pori original

    Bongo Movie rekebisheni yafuatayo niangalie movies zenu

    Sijashawishika na hawa wapaka hina wa bongo movies. Sizipendi filam za kibongo,hawana hata nusu ya kiwango cha wenzetu. Ubunifu mbovu, kuigana kwingi, location hizo hizo kila kukicha. Kuangalia bonhomie movies kwangu ni ushamba coz hazina ubunifu.
  4. mtu pori original

    Natafuta rafiki wa kiume

    Wenye vigezo jamani dodo hiloooo chini ya mnazi. Changamkeni.
  5. mtu pori original

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Koti lile lilimbana ameamua kulivua. Wakati Mwingine ni lazima kujitoa na kuthubutu. Urafiki umeyumba umebaki unafki. Bashite hana pa kuruka kila kona yeye tu.
  6. mtu pori original

    Utapeli.bayport.mikopo

    Mhhhh baypot!
  7. mtu pori original

    ITV 'Yahaha' baada ya viewers kupungua...

    Zaman nilikuwa nafatilia sana habar ya xaa mbili ila kwa sasa hawanishtui hawa infact wamepoteza kitu flan kama mvuto.
  8. mtu pori original

    HADITHI : Damu, mabusu na machozi

    Uko vizuri.......
  9. mtu pori original

    Wanawake wasiokuwa na magari ni wachafu

    Huyu jamaa ni ngoro yani ulielimishe vp halielimiki.
  10. mtu pori original

    Interpretation section 35 of the employment and labour relations act

    Maelezo mazuri shekhe...napenda kujiunga na hilo group la wanasheria nipate mambo flan kidogo.
Back
Top Bottom