Search results

  1. M

    Tundu Lissu: ACT-Wazalendo walianzishwa kuua upinzani, sasa wanazawadiwa

    Nonsense suala ni uwezo na si vyama
  2. M

    Ushauri wa Tundu Lissu kwa Serikali ni wa kijinga na Serikali itakuwa ya kijinga kuukubali

    Najivunia Rais wangu ambaye daima amehubiri kwamba haya masuala ya vyama yasitugawe, sisi ni wamoja, kwa kuonesha anamaanisha anachoongea ktk teuzi zake anaangalia elimu au uwezo wa mtu ktk kusimamia jambo ili nchi isonge mbele. Wenye mawazo mgando bado wanataka kutuaminisha kila kinachosemwa na...
  3. M

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Huko tuendako katiba pendekezwa ya jaji Warioba itakuwa ndiyo muarobaini wa muungano. Vinginevyo tutakuwa tunakimbia kivuli chetu mwenyewe.
  4. M

    Siku hizi hakuna mtoto huyu binti kanipeleka puta balaa..

    Achana na watoto washule, wasaidie kufikisha malengo yao badala ya kushawishika na mitego huku ukijua wapo ktk kundi rika linalohitaji msaada wa elimu ya kujitambua. Ukikosa msimamo utagonga mpaka vichaa
  5. M

    Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

    Nchi inahitaji Rais mwenye maamuzi na baadhi ya watu tuliomba tupate Rais mwenye element za kiudikteta ili nchi isonge mbele badala ya kusikia maandamano yasiyo na vichwa na ufisadi uliotamalaki. Changamoto iliyopo sasa ni kukosekana kwa standard ktk kushughulikia baadhi ya insue
  6. M

    Mwanamke aandaliwe kwa heshima na ustarabu wa hali ya juu.

    Suala la mapenzi siyo kama muvi za kihindi au hadithi za mahaba. Suala hili linahitaji utulivu wa akili mengine yanaendelea yenyewe .
  7. M

    Uhusiano kati ya mwanamke kunuka na kuachwa kimapenzi.

    Jambo la msingi ni kumsaidia na siyo kumdharirisha kama kweli umempenda na umahitaji kuwa mama wa watoto wako baada ya kujiridhisha uzuri wa ndani alionao yaani uwezo wa kufikiri,kuamua na kutenda. Dawa zipo japo nyingi ni za asili. Kwa maana ya hospital atashauriwa aoge mara kwa mara na kumbe...
  8. M

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Ubinafsi wa kujitosheleza kuliko kumtosheleza mke kunamfanya kujilengesha ili kukidhi haja zake kama binadamu. Wanawake wasiosuguliwa vizuri na waume zao ndiyo wenye matatizo ya kuumwa mgongo na anapompata shababi matatizo kwishney
  9. M

    Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    Tatizo linaanza wakati wa mahusiano, kama ulificha rangi yako halisi hapo mwanzo huo ndiyo mshahara wake pia kama kumpata kwako ulimuona kama ngekewa hayo ni malipizi yake.
  10. M

    Nawezaje kupata Ufadhili wa asasi

    Wadau Mimi na jamaa zangu tumeanzisha asasi ya kiraia inayohusiana na masuala ya uelimishaji umma na mazingira tangu Mwaka 2015. Changamoto ni namna ya kupata wahisani wa kusaidia shughuli zetu. Jitihada za kuomba ubalozi wa Marekani na Oxform hazijazaa matunda. Naomba kujulishwa wadau wengine...
  11. M

    Humphrey Polepole aeleza mikakati yake baada ya kukabidhiwa ofisi na Nape Nnauye

    Misingi ya azimio la Arusha ni jawabu kwa mambo mengi, naamini chama kinaweza kujitafakari upya kuhusiana na suala hili na kuja na maboresho ktk kusimamia chama na serikali. Habari ya wanyonge ni propaganda isiyo na mkakati
  12. M

    Ni vizuri kubadilika

    We are affected with white colour jobs, we can not think out of box
Back
Top Bottom