Wacha wavunje maana hautusaidii chochote katika serekali ya tanzania bara iliyojificha, kama talaka juu ya ndoa haramu iliyofungwa sisi tutakuwa wa mwanzo kutoa talaka ya kuvunja muunguna
Jamani wana JF, mchakato wa katiba mpya unategemea kupelekwa bungeni katika kikao kijacho cha bunge kwa mujibu wa taarifa ya mwisho wa mwezi wa March ya Mheshimiwa raisi lakini inakuaje yale makongamano, semina nk yanayotoa ufahamu wa namna ya undwaji wa katiba hiyo mpya ili umuakisi kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.