Kwenye story ya kweli hapo hapana..... Kuna sehemu anasema Merry kafariki 2012..... Mara huko kaenda 2016....
2012.... Anaizungumzia Alteza na Alphard bongo hapana zilikuwa bado.....
Na kingine uwezo wa kukariri miji na majina ya mito kote alikopita siyo kweli.... Unless Kama Kama alitembea...
Nenda Miami kuanzia saa sita usiku
Hallday Muda wowote ule.....
Kuna bar ziko around mlandege hapo..... Mfano Kahama Pub na Kigoma Pub Kuna mipaka ya kutosha hapo.......
Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
Kuna moja niling'ang'ania kulala kwenye chumba cha mpangaji wetu..... Hata sijui nilifikaje
Wana upande wao tunaupande wetu.... Maza hakuwepo.... Halafu huyo mpangaji mke wa mtu.... Na mumewe huwa hatuelewi anafanya kazi gani ila Dodoma
Walinichukua kunipeleka kwangu.... Naamka asubuh missed...
Kukataa kampani ya wana walevi ili uache huo ni udhaifu..... Ushujaa ni kuacha pombe ukiwa na Hela na uko bar na rafiki zako wewe unakunywa mahi wao unawanunulia pombe ukifanikiwa kuwa n hiyo courage umetoboa....
Sasa mkuu umeacha pombe unarudi home saa Moja jioni kufanya Nini? Kaa sehemu na...
Stella(Yohana kisunga) yuko mlowo ni dereva wa Lori
Kesheni mwalimu nadhani Songea
Amosi kwao Kyerwa
Bukoba(Bwatota) ni bodaboda bukoba huko...
Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
Me ligendi mkuu though nastaafu sasa.....
Darasa la Vwawa day 2010 hawataki hata kunisikia nilichakaza nusu ya darasa nikiwa mdogo sana....[emoji3][emoji3] Tutahookup mzee..... Hatuwezi kosa pisi mbili tatu
Ulifika masaki carnival? Iko sheli ya chaula kwa nyuma?
Sent from my SH-01K using...
Kama ni mtu wa mitungi ni maeneo sahihi sana
Hukosi kampani
Utakunywa pombe hata Kama huna pesa
Vijana wa pale ni Bata from Monday to Monday nadhani Hali ya hewa inachangia pia
Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
Tekla Mwanangu sana sana..... Mpambanaji wa kweli meanwhile kazaa na mwanetu...... Ana rafiki yako huyo Hellen mweupe muda mwingi wako wote.....
Wapeleke pia wahuni Kona ya mkoa.....
Ila vwawa..mlowo... Tunduma.... Siyo salama sana
Nimesoma kidato cha sita Mwl Nyerere Tunduma
Home vwawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.