Search results

  1. Tiger B

    Wanaume wengi ni katili sana kulinganisha na wanawake

    Kwa hiyo hela yangu umekula halafu nikilalamika unasema ni ukatili? Nani katili hapo?
  2. Tiger B

    Nifanye Mapenzi, Ama Nisifanye?

    Nilipoona heading akili ilijipanga kula na kushiba but nimeishia kunawa mikono tu
  3. Tiger B

    Msaada: Mtoto wa miezi 9 kushindwa kusimamia miguu anaposimamishwa

    Ahsanteni kwa michango yenu. Imenisaidia
  4. Tiger B

    Msaada: Mtoto wa miezi 9 kushindwa kusimamia miguu anaposimamishwa

    Ni nini inaweza kuwa sababu ya mtoto wa miezi 9 kuwa na miguu dhaifu? Yaani hataki kabisa kukanyagia miguu. Ukimsimamisha anajikunja, ukiforce anakaa. Jinsia ni Me. Natanguliza shukurani
  5. Tiger B

    Tumelikoroga tena, "Tanzania rushing to pass bill to further repress human rights": Amnesty International.

    Kwani kazi yao si ndo hiyo au? Acha waseme, kama siyo kweli wakosolewe bas.
  6. Tiger B

    Ujenzi wa barabara njia sita kuanzia Kimara wafika asilimia 28

    Fiksi za kijinga hizi. Ninachojua serikali ilisitisha ujenzi kutokana na ukata. Fullstop
  7. Tiger B

    Wale mliofanya harusi ya gharama ndogo ninawaita hapa.

    Huwa ninashangaa tu, watu wanavyoteseka kuchangisha michango ya harusi. Nowdays ukisema unaoa ni full stress. Bwana harusi stress, wazazi stress, marafiki stress, nk. Hii inatokana na mentality waliyo nayo watu wengi kwamba, harusi inahitaji mamilioni ili ifanikiwe. Yaani ukisema harusi watu...
  8. Tiger B

    Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

    Hawa ndo wale vijana wa Bashiru hawa. Yaani kwenye brain kumejaa uzwazwa tu.
  9. Tiger B

    Tafadhali sana Rais Magufuli, piga marufuku Instagram nchini

    Mnajitekenya, mnacheka wenyewe.
  10. Tiger B

    Somewhere in Tanzania

    Stop deveiving people. Its in Kenya not not our brautiful country, TZ.
  11. Tiger B

    Magufuli na CCM yako waoneeni huruma watoto hawa

    Hujasema ni shule gani, iko wapi tujue la kufanya. Kulalamika wakati tunaona haisaidii
  12. Tiger B

    Nilimpenda, akanifanyia mbwembwe hadi akani-block kwenye social media. Sasa anadai ananipenda!

    Mkuu ata mzigo wake siutaki. Awapelekee tu hao waliomzuzua
Back
Top Bottom