Search results

  1. P

    Msaada: Matiti yananiuma na kutoa maziwa mazito

    Habari za saa hizi wakuu,nimepata tatizo la MATITI yanauma sana na kutoa maziwa mazito sielewi naomba msaada
  2. P

    Naomba kujua tiba ya fangasi wa vidoleni

    Kwema wakuu? Jamani nasumbuliwa na fungus wa vidoleni mikononi,nimetumia dawa nyingi lakini siponi, naomba anaejua dawa aniambie Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    Tamthilia ya home temptation

    Jamani ni tamthilia ya kichina na imetafsiriwa kwa kiswahili ni tamthilia nzuri sana na inafundisha sana, inaonyeshwa channel ya star swahili ndani ya star times jtatu hadi ijumaa kuanzia saa 12 jioni, tizameni mjionee wenyewe
  4. P

    Nami pia mgeni naomba mnipokee

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimefurahi kujiunga leo na jf nilikuwa natamani sikumoja nami nichangie mada, hatimae imekua.
Back
Top Bottom