Search results

  1. P

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Kama huku Tanga jamani Leo siku ya nne
  2. P

    Mkipiga mafataki yenu mtoe taarifa mapema, mtatuua kwa presha!

    Yaani,kama mimi tu,nimeshtuka nikajua janga la moto [emoji17][emoji17]
  3. P

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Kuna ndugu yangu kung'amuzi chake ni Cha zamani,ila ghafla tu hakionyeshi,yaani hakipitishi moto kabisa,anauliza mnatengeneza Bure au mpaka alipie,au akirudisha Cha zamani Ili apate kipya Kuna punguzo?
  4. P

    Msaada: Matiti yananiuma na kutoa maziwa mazito

    Jana mwisho mkuu, halafu ni chuchu ndio zinauma
  5. P

    Msaada: Matiti yananiuma na kutoa maziwa mazito

    Asante mkuu, ni chuchu sio yote
  6. P

    Msaada: Matiti yananiuma na kutoa maziwa mazito

    Asante mkuu, ni chuchu sio yote
  7. P

    Msaada: Matiti yananiuma na kutoa maziwa mazito

    Asante mkuu,ni chuchu sio yote
  8. P

    Msaada: Matiti yananiuma na kutoa maziwa mazito

    Habari za saa hizi wakuu,nimepata tatizo la MATITI yanauma sana na kutoa maziwa mazito sielewi naomba msaada
  9. P

    Kagera: Mtoto wa miaka mitatu auawa kwa kukatwa na panga na baba yake wa kambo

    Mmmhhh Jamani dunia simama nishuke[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. P

    Naomba kujua tiba ya fangasi wa vidoleni

    Kwema wakuu? Jamani nasumbuliwa na fungus wa vidoleni mikononi,nimetumia dawa nyingi lakini siponi, naomba anaejua dawa aniambie Sent using Jamii Forums mobile app
  11. P

    Yupo wapi siku hizi?

    Sekiony David jamani au Secky wa ze komedy sijui yupo wapi
  12. P

    Msiba wa Mengi umewaumbua viongozi jeuri

    Write your reply...Sikuwahi kujua kama Mbowe na Mengi ni mtu na mjomba wake
Back
Top Bottom