Search results

  1. G

    Msaada ku unrocky moderm ya tigo

    Wakuu naombeni msaada jinsi ya ku unrock moderm ya tigo model E153u-1 ,IMEI 352375045181518 ,S/N;KMA5TA10C0713800.
  2. G

    Msaada wa program ya video converter

    Wakuu naombeni msaada wa kupata program ya video converter nataka kuconvert nyimbo za video mp4 kwenda DVD au kama kuna mtu ana jua free link yoyote yenye program hizo anitupie hapa jamvini shukrani wakuu.
  3. G

    CCM yaangukia pua tena

    Kijiji cha Kaseke juu jimbo la Kigoma Kusini kimelindima kwa shangwe baada ya mwenyekiti wa kijiji kwa tiketi ya CCM Naftari Bitonze kubwagwa chini na ABEL KENGANA wa CHADEMA kwenye kesi ya uchaguzi iliyoamuliwa leo na mahakama wanakijiji wanamtuhumu Naftari na chama chake cha CCM walichakachua...
  4. G

    iPad ni kitu gani?

    Wataalamu wa IT naomba kufahamu hivi IPAD ndio kitu gani na kina kazi gani maana wanasema MH ZITTO ndio mmbunge wa kwanza kutumia bungeni na gharama yake ni shillingi ngapi?shukrani wakuu.
  5. G

    Jf salam jinsi ya kuunganisha internt ya tigo kwenye simu

    Nina simu ya Nokia model 2690 ninataka kuunganisha na internt ya tigo naombeni msaada wa maelekezo natanguliza shukrani zangu wanajamii foram.
  6. G

    HodI deep thinker

    Nimeamua kujipenyeza ndani ya bahari ya jamii hii iliyo staarabika na kutoa michango inayotupanua kifikra na kutufanyatufikiri kwa mapana mambo mbalimbali.hongereni wanajamvi.
Back
Top Bottom