Search results

  1. Meku tz

    Nyumba inauzwa million170

    Hii hapa chini, hii inatakiwa 170 milioni, ipo Tandika ina bedrooms 4,ina sitting room,ina dining, jiko na kisima. Inauzwa na vitu vyake vya ndani bado vipya na nyumba ni mpya
  2. Meku tz

    Jamaa ashinda million 760 kwa mkeka mmoja

    Jamaa mmoja nchini Kenya sikukuu ya Christmas imemjia vizuri baada ya kushinda na mkeka wake kwenye kampuni ya Sport Pesa. Jamaa mwenyewe jina lake ni Peter Byegon ni mfanyakazi wa hotel moja huko Nairobi ameshinda baada ya kupatia tabiri 16 kati ya 17 na kumpa ushindi wa kiasi cha Tsh...
  3. Meku tz

    Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    Nina umri wa miaka 24 Kwetu mimi ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi. Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO. PIA SINA REFEREE Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani...
Back
Top Bottom