Search results

  1. U

    RC Makonda yupo wapi?

    Nasoma kuhusu DC Happi kukaimu nafasi ya RC, sifahamu Mkuu wetu wa Mkoa yu wapi na nini kimemfanya asitekeleze majukumu yake. Hope yu mzima wa afya somewhere.
  2. U

    Samia Suluhu aipongeza Azam TV kwa kutoikosoa Serikali sana

    Makamo wa rais ameipongeza azam TV kwa kutokuwa na ukosoaji mkubwa kwa serekali na kusapoti shughuli za ki serekali. Aidha azam TV imekuwa ikiwaalika viongozi wa serekali kutolea ufafanuzi mambo yenye kuhitaji ufafanuzi badala ya kuhukumu
  3. U

    Humphrey Polepole: Tusiwatukane wapinzani

    Ukiwatukana mitandaoni haileti faida yoyote waache mwenyewe matendo yao yataonesha kama wao ni nyumbu au la. WanaCCM tujenge hoja tupunguze fitna unafiki tuongeze kiwango cha kusema kweli tutaaminiwa. CCM si ya kutukana watu maana CCM wa sasa atambulike kwa utu na ustaarabu wake, akitukanwa...
  4. U

    Matawi ya vyama mitandaoni Sheria inatambua?

    Wanabodi kumekuwa na mstawi ya vyama vya siasa mitandaoni km Facebook na mitandaoni mingine chini ya tawi mkuu linaloitwa ,"tawi LA chama mitandaoni. Hoja yangu ni juu ya uhalali kisheria wa hays matawi na kama vyama husika vinawajibika kwa msdhaifu na madhara ya haya matawi kwa watu binafsi...
  5. U

    Huu ni ubaguzi wa waziri kabisa, ni ukaburu

    Kumekuws na matukio ya kuumiza vibaya wenzetu kutoka nje wsnsofanya kazi hapa Tanzania. Uumizaji huu kwa uchunguzi wangu si wa kawaida kwani una ukstili ndani yake. Emmanuel Okwi na Chidiebere kuumizwa na Aggrey Morris. Obrey Chirwa kukabwa koo kikatili na beki wa Jkt Ruvu, Amis Tambwe kukabws...
  6. U

    Kina Dada wagumu Kulipia Chumba

    Watajitahidi kwenye misosi ,usafiri nauli watalipa sasa chumba cha hoteli ni ngumu Sana . Ikibidi sana atakupatia fedha uende reception bila yeye kujihusisha.
  7. U

    Ni faida kwa Lowassa Mbowe kuhudhuria 9/Dec

    Yes UKAWA wahudhurie uwanjani hii ina faida kubwa sana kisiasa kwao, vyama vyao na taifa kuliko issue ya kuingia mitini. Ile ni geji nzuri na pagawisho
  8. U

    Hawa magwiji Said Bulembo na Mabere Marando wapo wapi?

    Hawa ndugu walikua na nafasi na wajibu mkubwa kwenye vyama vyao kabla na baada ya uchaguzi.Nafahamu mwanae Bulembo binti yule aliteuliwa ubunge viti maalum. Mara ya mwisho kumsikia Marando ni pale alipoahidi kumtangaza mshindi kitu cha urais wa Jamhuri bila kusubiria tume, Nafahamu pia Marando...
  9. U

    Penzi lililoisha kwa amani halifi hata siku moja!

    Habari ndugu zangu, Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu inaanza upya. Kinachohitajika ni busara tu za wahusika, mmoja akikomaa tu 'kinanuka' upya!
  10. U

    Namuona Prof. Ndalichako akiitwaa Jimbo la Kigoma Ujiji

    Ameshajua siasa. Kama Dr. Tulia atakavyotwaa Mbeya mjini yeye atatwaa Jimbo la Kigoma Mjini. Juzi alikuwa Sekondari ya Ujiji aliposoma na ameahidi mambo mambo chini ya mwavuli wa waliosoma Ujiji Alumni. Zitto na Sugu kazi mnayo.
  11. U

    Hakuna kesi ya uchaguzi iliyotengua matokeo hadi sasa

    Hivi hii INA maanishs uchaguzi haukuwa na dosari ama ndio ile semina ya mahakimu na msjaji?
Back
Top Bottom