Umenitoa Gizani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 387
- 182
Kumekuws na matukio ya kuumiza vibaya wenzetu kutoka nje wsnsofanya kazi hapa Tanzania. Uumizaji huu kwa uchunguzi wangu si wa kawaida kwani una ukstili ndani yake. Emmanuel Okwi na Chidiebere kuumizwa na Aggrey Morris. Obrey Chirwa kukabwa koo kikatili na beki wa Jkt Ruvu, Amis Tambwe kukabws koo naGadie Maiko.
Wachezaji wa ndani hawatendewi unysma huu. Inaweza kuwa vyombo vya habari kulalamikia mapato mskubwa ya haws wachezaji imekuwa chanzo
Wachezaji wa ndani hawatendewi unysma huu. Inaweza kuwa vyombo vya habari kulalamikia mapato mskubwa ya haws wachezaji imekuwa chanzo