Umenitoa Gizani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 387
- 182
Wanabodi kumekuwa na mstawi ya vyama vya siasa mitandaoni km Facebook na mitandaoni mingine chini ya tawi mkuu linaloitwa ,"tawi LA chama mitandaoni. Hoja yangu ni juu ya uhalali kisheria wa hays matawi na kama vyama husika vinawajibika kwa msdhaifu na madhara ya haya matawi kwa watu binafsi jamii na taiga.
Matawi hufanya uchaguzi na vikao
Matawi hufanya uchaguzi na vikao