You better elucidate well.
Vijana wengi wetu tunapenda mambo yasiyo tija.
LinkedIn ✅
Jamii forum ✅
Quora ✅
WhatsApp ✅
App hizo hutosheleza mahitaji yangu
Katika maeneo ambayo si salama sana kwa biashara yako na hata kuishi ni GEITA.
+Vibaka ni wengi
+Huduma za afya zipo ili miradi
+Usafirishaji ni tatizo (barabara)
+Ulinzi duni
+Uhusiano wa wafanyabishara na halmashauri ni mbovu
+Huduma ya maji si rafiki
+Mpango mji hawatambui kazi yao
Povu 😤😤...
Halafu kuna hawa watu wa uhamiaji wanakera sana kwenye utoaji wa hati za kusafiria.
Siyo kwamba hatupendi kuchangamkia fursa ila kuna mambo yanafanywa makusudi na mamlaka ili tudhoofike.
Hebu ona majirani zetu wakenya hawana mambo mengi
Jioulize Je una account ya linked? ume connect na watanzania gani ambao wewe unataka kuwa kama wao? linked ni bure kwanini hauja connect hasa kwa wasomi?
Ukweli tuambizane tu hata hiyo LinkedIn siyo bure kama unavyoisemea. Ni kweli ina proffesional wengi lakini ili uweze kupata connection nzuri...
Kabla ya kukujibu imenibidi kwanza nifuatilie utashi wako.
Ila watu kama ninyi ni sawa tu kuwepo kwa maana mna umuhimu wenu huenda kwa ninyi kujitambua ama kutokujitambua👀
zama hizi ni bora nionekane nina roho mbaya tuu ila hakuna ndugu nitamruhusu kulala kwangu hata usiku mmoja.
Ila kuwa makini hata shule za boarding utazowapeleka maana huko nako kuna uozo mtupu
Tatizo lipo lakini wazazi walio wengi hawafuatilii kabisa watoto wao.
nakumbuka nilipokuwa mdogo kuna mjomba wangu mmoja japokuwa tulikuwa wadogo sana yeye alikuwa na kitabia kama cha huyo jamaa.
kiukweli mimi nikiwa darasa la tano nilistaajabu sana kwa ule mtindo wake lakini sikuweza kumuhoji...
Jamani katika hili ni bora tu ukafikia lodge na chakula ukawa ukipatia mgahawani. Kufikia kwa ndugu labda kwa siku moja tu. Zinazofuata jiongeze tu unaweza jikuta matatani.
Yaliyonikuta hata siwezi maliza kuwaelezea.
kifupi ukienda ugenini hakikisha una akiba ya kutosha na usikae zaidi ya siku...
Hello good people!
In this really life I've come to realize some of our community members we must know them and obey their characters.
Here are some of behaviours of fake people in our entire society and life at all;
Insincerity:
Fake nice people may appear polite and friendly, but their...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.