Search results

  1. kandoswe

    Natafuta kazi nina diploma ya business administration

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika nimesoma Business Administration Diploma na nimefanya kazi kwa miaka 2 kama secretary hivyo katika kampuni moja naomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia nnaweza computer kazi za stationary, kuandaa docs za tender hasa katika masuala ya IT, reception, Karibuni...
  2. kandoswe

    Nilitambulishwa mtoto mmoja, wa pili nimemjua mwenyewe

    Dah kweli inabidi nichanganya nazangu
  3. kandoswe

    Nilitambulishwa mtoto mmoja, wa pili nimemjua mwenyewe

    Nataka lakini tumpate tukiwa na malengo
  4. kandoswe

    Nilitambulishwa mtoto mmoja, wa pili nimemjua mwenyewe

    Na ndo maana nkaleta huu uzi ili mnishauri
  5. kandoswe

    Nilitambulishwa mtoto mmoja, wa pili nimemjua mwenyewe

    Ahahahahahahahaaaaaa, niokotwe ICC
  6. kandoswe

    Nilitambulishwa mtoto mmoja, wa pili nimemjua mwenyewe

    Nimekua katika mahusiano kwa muda wa miezi mitano na kijana mmoja sasa wakati tunaanza alinitambulisha mtoto wake mmoja ambae alimpata akiwa chuo na akanieleza kua hakua na mpango wakumuoa huyo mwanamke Ila analea motto. Kilichoifanya niombe ushauri nikua kuna siku nilimpokea begi akiwa...
  7. kandoswe

    Mtaalamu wa kuandaa Tender documents napatikana

    IT, supply & maintanance
  8. kandoswe

    Mtaalamu wa kuandaa Tender documents napatikana

    Karibu uandaliwe tender document na ushauri mwanzo mpaka mwisho. Update. Hii inahusu wale wenye makampuni either unataka kuintroduce company yako au tayari umeshaanza kuoperate based in IT, means unasupply, maintanance of of laptops desktops , printers scanners, cctv camera, ups...
  9. kandoswe

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Agiiiiiiiiiiiiii............njooo in Bashites voice
Back
Top Bottom