Search results

  1. Emmanuel nemes

    Hizi hapa ngoma 20 kali za Bongo Flava kutoka 2013-23

    Gangwe mob,mabaga fresh ETC
  2. Emmanuel nemes

    Hizi hapa ngoma 20 kali za Bongo Flava kutoka 2013-23

    Kipindi hicho ata mondi hajulikani.prof j alitusha sana.
  3. Emmanuel nemes

    Hizi hapa ngoma 20 kali za Bongo Flava kutoka 2013-23

    Hizo nyimbo zote bado hazijafikia ladha ya ngoma zilizoanzia 2003-2010'acha kabisa.kipindi hicho juma nature ndio kama mondi wa sasa, Crew zilikua zinashindana kutoa ngoma mpk msikilizaji anafrahi.kipindi hicho hakuna singeli wala wabana pua.
  4. Emmanuel nemes

    Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf raha sana,.
  5. Emmanuel nemes

    Sitasahau siku nilipoingia matatizoni na mamlaka ya kiserikali bila kutarajia

    Kuna cha kujifunza hapa,. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Emmanuel nemes

    ACT-Wazalendo yapewa siku 14 kujieleza kwanini isifutiwe usajili wa kudumu kwa kuvunja ‘Matakwa ya Sheria ya Vyama vya Siasa’

    Kumbuka atakaehitajika kukisajili hicho chama na kukitambua ndie hyo hyo aliefuta act. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Emmanuel nemes

    CUF (Seif) yajaza nafasi wazi za Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini

    2/9 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Emmanuel nemes

    Meneja mawasiliano TFS afariki dunia akizungumza na waandishi wa habari

    Hii izidi kutukumbusha sote kuwa tu wapitaji tu hapa duniani hvyo hatuna budi kutengeneza mambo yetu na Muumba wetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Emmanuel nemes

    Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

    Basi na muyazungumze mkuu, kila mmoja awe wazi kwa mwingine, coz suspicious yko kwake yaweza kuwa wrong na ukapoteza mke wa maisha yako. Vivyo hvyo yaweza kuwa kweli na ukapoteza mda wako. Naamin sana ktk mazungumzo,.
  10. Emmanuel nemes

    Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

    Kuna mambo munatakiwa mukae chini na muyajadili na kuyaongea kwa marefu, then kila mmoja ataamua ipi ni njia sahihi,.
  11. Emmanuel nemes

    Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

    [emoji2] just in case, na hyo ni probability.
  12. Emmanuel nemes

    Tunashughulika na uandaaji wa salad na matunda matunda kwa kiwango cha juu

    Yote tunafanya ndugu, baadhi ya wateja wetu huomba tuwape list ya components then wanayaleta wenyewe sisi tunaandaa, na wengine hutupa jukumu la kudeal na issue yote, so ni mteja tu atakavyopenda yeye.
  13. Emmanuel nemes

    Tunashughulika na uandaaji wa salad na matunda matunda kwa kiwango cha juu

    Hapana mkuu, tunatengeneza on spot kwenye sherehe, yaan wakt wapishi wanashughulika na suala la mlo, na sisi pia tunakuwa hapo hapo tunaandaa salad na matunda, mwenye sherehe huwa tunampa list ya matunda salad components na vitu vingine tunavyohitaji then sisi tunakuja kuandaa, kupeleka ukumbini...
  14. Emmanuel nemes

    Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku

    Hapana ndugu, kifurushi nilikuwa sijalipia takriban miez mitatu nacheki chanel kumi na tbc tu nimelipia ata wiki mbili bado.
Back
Top Bottom