yule mseamji wa fufa aliyekula kula hela za bin kleb na kusainisha fomu za okwi kinyemela ameshajiuzuru takribani wiki mbili zilizopita, nafikiri alisoma alama za nyakati!!
I am a newly-wed and I am already having problems with my husband, for the simple reason that I refuse to do things like washing his underwear, polishing his shoes and ironing his clothes. I believe he can do these tasks for himself since he is a grown man, but he insists that it is my duty as a...
Nimepata taarifa kuwa Kikao cha dharura kilichoitishwa na viongozi wa chama cha mapinduzi kimeamuwa kukata rufaa mahakamani kupinga ushindi wa chadema katika uchaguzi wa madiwani mjini Arusha kama ifuatavyo " kata ya Themi Chadema 678 ccm 326, CUF
313. KIMANDOLU CHADEMA 2665, CCM 1169. KALOLENI...
From me to you....
Mwanaume waukweli hanaga MANENO MENGI,ANAONGEA MANENO MACHACHE,NA ANATENDA MAKUBWA KULIKO ALIYOSEMA...HAPROMISE SANA,ILA ANADELIVER MORE THAN HIS PROMISES..
Mwanaume waukweli hana MIKOGO,HANA MBWEMBWE,HANA SWAGGER KWAMBA YEYE NI FULANI NA ANA NINI,AU ANA HELA FULANI,KAMA...
I have tried all that but all in vein, one even told me that my beauty will kill him, he thinks that there must a very big politician or a business man dating me! sijui kwanini people think that all beautiful girls date rich guys...siko hivyo jamani
ukiiangalia ile CLIP bila macho ya kichadema utagundua haina SHIDA KABISA, ile ni pure local recording! sauti za kuigwa zinakuwa na video effect ambazo ni rahisi sana kuziidentify! ebu chafya anazopiga,jinsi anavyojipangusa,anavyoangalia huku na huko na kupepesa macho, jinsi anavyoandika...
Hi Guys My Name is Cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks up with me drops me after some time. Iam financially stable so i cant say iam a burden to them...
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype...
HATIMAE SLAA AKIRI KUJIKOPESHA
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya...
yabisi=solidi
kiwambo seli= cell membrane
umbijani= chrophyll(kama sijakosea)
pia sayari zilijulikana kwa majina ya zebaki:mercury, zuhura:venus, mihiri, sumbula,utaridi etc.
cheap popularity itakumaliza we padri, ulikuwa wapi miaka yote kulizungumzia hili....... yani nyie manendesha siasa kwa kutumia matukio aya bana, likiibuka lingine najua mtatoka huko na kulifuata! yani i hate you dr Slaa i wish you go to hell
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.