Search results

  1. Titus Dickson

    Vodacom kwaherini, ufisadi na kutokuwa waaminifu kwa wateja wenu ndio vimenifukuza

    Halotel Kutamu Sana Aisee... Hasa Kwenye Issue Za Internet. Sh500 ,Unapewa MB. 600 Kwa Wiki. Mungu Akupe Nini Jamani!
  2. Titus Dickson

    MPESA Faida na Figisu Figisu za VodaCom 2016/2017

    Hawa Mi Hawajanitumia Bhana!
  3. Titus Dickson

    Kila siku visingizio ni kazi

    Leta Hizo Fursa Tuzitumie... Mwenyewe Niko Songwe hapa
  4. Titus Dickson

    Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

    Mi Nakushauri Uachane Naye Kuna Maisha Baaya ya Yeye... Inaonekana Hiyo Ni tabia Yake, as you said kwamba Anamtoto Aliyempata Kwenye mahusiano yake Mengine, Bado yuko na Wewe, wakati huo huo Yuko na Huyo Mme wa Mtu... Hilo Pepo Ndugu Yangu.. Achana naye ,Kaa Muombe Mungu atakupa Mtu sahihi
  5. Titus Dickson

    Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

    Kuvujisha Video Za Uchi Ni Ujinga, we huoni Kama Utakuwa Umewadharilisha wanawake wote?
  6. Titus Dickson

    Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Teh.. Teh... Teh... Umekula Vitamu au sio!
  7. Titus Dickson

    DODOMA: Mwanafunzi ajinyonga baada ya kuchukizwa na matokeo ya mtihani

    Kujinyonga hakuji kwa Akili ya kawaida... Kumbuka Shetani Yuko Kazini
  8. Titus Dickson

    Ushauri: Niliacha chuo kikuu mwaka wa pili, je naweza kupewa cheti cha diploma?

    Nenda Chuo kajieleze.. Naamini Mungu yu Pamoja na wewe
  9. Titus Dickson

    Uhakiki wa mali za viongozi 500 wakamilika

    Baada ya huu Uhakiki sijui unafuata upi
  10. Titus Dickson

    Mazee... Demu wangu kanifurahisha kinyama!!

    Kwahiyo unampango wa Kumuoa au sio!
  11. Titus Dickson

    Mazee... Demu wangu kanifurahisha kinyama!!

    ha ha ha... Kwamba Tangu uanze Relationship hukuwahi kutana na haya maneno Kabla au sio!
  12. Titus Dickson

    Mazee... Demu wangu kanifurahisha kinyama!!

    Moja Kati Ya makosa Mbayo utaja kuyafanya ni Pamoja na Hili La Kuamini Maneno ya Wanawake... take care of that, Huyo sio Mama yako ohooooo.....
  13. Titus Dickson

    Mazee... Demu wangu kanifurahisha kinyama!!

    Yani Maneno tu Yashakujaza upepo, ukute hata wengine pia waliwahi Kuambiwa hivo hivo..
  14. Titus Dickson

    Leo timu zote za ligi kuu England kuvaa vitambaa vya kuunga mkono Ushoga

    CHELSEA ilikuwa timu ya kwanza kutangaza hilo Kupitia Akaunti yake ya Twitter, Baadae zikaja United, Man City na nyinginezo.
Back
Top Bottom