OT: Kuna mmoja alisema napaswa kumpa jina mtoto like precious, gifts, loveness etc ila nisimwite like tata, madiba, liti, Ghati etc kwamba majina haya yamejaa laaana na mikosi.
Nikizingatia heading bila content, naenda kidogo tofauti na wewe. Tuna fugures nyingi ambazo ni vielelezo tosha kutoka...
Mkuu kabla ya mapinduzi ya viwanda, njia kuu ya uchumi ilikua feudalism na mmiliki wa ardhi lilikua kanisa.
Madhani haya tunayoyaona ni echoes za waliotangulia
Mmmmm!!!!!
Sababu ya njaa vita vya Uganda na kuvunjika kwa Jumuiya nayo inahiitaji Munguu wa waisraeli ndio apange kisa nyerere anaisemea palestina?
nadhani anapaswa kutoka nje ya box ili kuelewa mambo the same na wenzake wa upande wa pili hapo watakua na mawazo huru ya kiuchambuzi
Na hapo afya inategemea specialist yako.
Nursing masters na pediatrician wote wana masters lakini wakipeleka vyeti utumishi mmoja anabadili muundo na mshahara unaongezeka mwingine ataambiwa asante kwa kuongeza maarifa kichwani.
Nadhani hiki pia alikipata Oprah Winfrey Switzerland kwamba huyu definitely hana pesa ya kuingia duka hili.
Katika kuchukulia positive jambo inategemea na impression ulivyochukuliwa at first kwakuwa kama wangeandika kuwa hapa ni kwa weupe tu wala nisingekanyaga kwakuwa tayari nimeona bango...
Safi sana, naona protea flower hapo.
KMN, atlas plateaus na ruwenzori mwa sasa zipo kwenye basketlist kujifua nijipange mfuko kwa ajili ya everest peak.
Nimewahi kubaguliwa two times zanzibar na udzungwa. Nadhani shida iliyopo ni mentality ya kuhisi kila mtanzania anaeenda kutalii ni mtu anayehitaji huruma za mtembezaji/kampuni.
Mpaka unanipigia mahesabu ya kunizungusha/kunihudumia means hicho ulichonipangia kulipa ndio stahiki yako kulipwa...
Kuna majukumu mkasimishwaji lazima aombe go ahead, mwenye ofisilazima awe briefed kwa kila jambo linaloendelea (rejea enzi za kikwete yupo ulaya na waziri mkuu akiwa mizengo kp) Kukasimisha kwa baadhi ya ofisi ni almost a half.
Halafu hiyo ATCL nadhani nusu imekua booked na gavo means mbuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.