Search results

  1. miss mbuja

    Bora ungenipiga tu kuliko adhabu hii

    Usiseme hivyo nakuhakikishia wallah wapi wanaume wanaowapeleka michepuko yao nyumbani kbsa!!
  2. miss mbuja

    Mke wangu hapendi tendo la ndoa, ndoa yangu ipo matatani. Nisaidieni.

    Teh..teh..teh.. mwifwa umepatikana safari hii aisehh !
  3. miss mbuja

    Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

    Na kweli tecno connecting people hahaha
  4. miss mbuja

    Kapiga simu nyumbani wamfuate, watekaji walao ni wema kumpa simu

    Hivi gymkana na magogoni si karibu sana au?
  5. miss mbuja

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    hii movie inapoelekea sijui starring atauawa au vipi wajameni?
  6. miss mbuja

    Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

    Anaona raha kulitazama tyuuuuuu
  7. miss mbuja

    Picha: Tunda akiwa njiani kuelekea polisi

    Unafkiri kwa uzuri huo maaskari watamlisha hiyo miharage hahahhaha....watakuwa wanamuiba wanampeleka kfc....hahahahah
  8. miss mbuja

    Moyo wa mtu ni kichaka

    Tony bwana yaani kaajiriwa na yeye kajifanya boss kaajiri kudadeki wanaume nyokooooooo!!!!
  9. miss mbuja

    Moyo wa mtu ni kichaka

    Duhhhh nice story love it!!!
  10. miss mbuja

    WTF

    Nadhani ni mmoja kati ya wale walionusurika pale central jana so nadhani akili haijakaa vzr kidogo huyo...tumsamehe jamani
  11. miss mbuja

    Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

    Duhhhh hayo.ndiyo nayasikia leo mkuu !!!
Back
Top Bottom