Search results

  1. thisdayes

    Viwanja vinavyomilikiwa na CCM

    Hili swala likaangaliwe vizuri
  2. thisdayes

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa Ubungo utahusisha barabara zipi?
  3. thisdayes

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Pole sana mkenya...
  4. thisdayes

    Kwanini timu zinazomilikiwa na majeshi hazidumu kwenye ligi na zina matokeo mabovu?

    Mtoa mada unaijua, Association sportive des Forces armées royales a.k.a Far Rabat Misri kuna timu za majeshi El Entag El Harby Sporting Club, Botswana kuna Botswana Defence Force, Russia, Gambia mpaka Spain zipo. Issue ni perfomance ya timu za Bongo ila siyo kitu kibaya majeshi kuwa na timu...
  5. thisdayes

    Vioo used/chakavu vya magari

    Unahitaji kwa wingi au hata mwenye kimoja unaeza kwenda kuchukua.
  6. thisdayes

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Pole mkuu.. uko sahihi nyumba ni choo. Ila abood wanakera sana halafu wana charge kama Luxuary kumbe ujinga tu.
  7. thisdayes

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Umeongea ukweli mtupu... hiyo garage yao nilienda pembeni nikanunua kiepe! Aisee safari iliharibikia hapo na nilipofika nilikaa siku 3 sijakaa sawa gharama kibao mpaka kurudi sawa. In short siwezi kurudia kupanda hilo bus kwa hiyo route.
  8. thisdayes

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ukweli... kuna mambo ya kijinga sana anayafanya kwenye hiyo route.
  9. thisdayes

    CAF yafungia uwanja wa Mkapa

    Taja hivyo viwanja vya Kenya na Uganda ambavyo ni bora kuliko uwanja wa Mkapa..
  10. thisdayes

    Badala ya kupunguza bei ya vifurushi, Azam TV yapunguza Channel tunazozipenda

    Ile ilikua inaitwa Fine Living.. ilikua inafurahisha sana kucheck designs tofauti za nyumba. Wamezingua sana
  11. thisdayes

    Je, ni sahihi kurithi na kuvaa nguo za marehemu?

    Mkuu saa za mtumba zinauzwa wapi?
  12. thisdayes

    DKT. Hussein Ali Mwinyi afungua shule ya sekondari ya ghorofa Pujini wilaya ya Chakechake - Pemba

    Shule haina viwanja vya michezo! Au sijaona vizuri!? Inabidi takwa moja wapo la mamlaka kutoa certificate ya shule iwe ni uwepo wa eneo la watoto kucheza. Mtoto kukosa sehemu ya kucheza na wenzake ina athari mbaya sana kwenye ukuaji wa kitaaluma na kijamii. Otherwise majengo mazuri na huyu...
  13. thisdayes

    Kuku wa mapambo wanauzwa

    Wapo wenye rangi kama ya Punda milia. Nataka awe anafanana na kaukuta cha bustani yangu. Kama wapo wa hivyo tuma picha, lengo awe anakaa kwenye maua siku nzima.
  14. thisdayes

    TBC1 HD Itumike kurusha matangazo ya mpira

    Mbwaduke mbona yupo sana Azam Sports, kweli jamaa anajitahid.
  15. thisdayes

    Biashara ya miwa

    Ku uza ata uza ila kwa bei itakayo mlipa! Kuna watu wanaitwa madali, jamaa wanazingua sana ukifika na mzigo wako mwingi halafu hujui pakuanzia.
  16. thisdayes

    Huyu hapa mpinzani wa Simba Queens nusu fainali

    Hivi hao mabinti wa Sundowns walishiriki mara ngapi kabla ya kuchukua ubingwa?
  17. thisdayes

    Wachambuzi wa mpira bongo ni lazima kuongea kiingereza ugoko?

    Ukimkuta Boniface Pawasa anachambua ndiyo utafurahi....!! Na mmoja wa wasafi anasauti ya kijuaji hivi halafu mbishi sana, Ki ukweli inachefua.
Back
Top Bottom