Search results

  1. M

    Jinsi gani ya kupunguza fuel consumption

    Swali langu dogo sana, kama siyo kunywa mafuta ulitaka linywe mchemsho? Hizi mambo ulitakiwa kuzijua kabla hata hujanunua hilo jini
  2. M

    Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Mbona nyie mnatupigia sana kelele na maspika ya misikitini hatusemi?
  3. M

    Dereva chukua tahadhari kwa sasa

    Pale Interchick kuna kibao kinachokuamuru kwenda 50kmph, kama hukukiona ni uzembe wako na hustahili kuwa dereva. Nakushauri fanya safari ndefu kwenda mikoa ya bara ndo utajua vizuri matumizi ya hivyo vibao TODAYS
  4. M

    Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

    Sekenke ulipita lini mara ya mwisho? Sekenke ya sasa hata ma-learner wanapita bila hata kujua kuwa wamepita sekenke
  5. M

    Mwanaume Miaka 30, bado unakaa home au kwa ndugu bila sababu za msingi

    Hii mada imewagusa wengi sana na wengi wa wanaoshabikia kuendelea kukaa nyumbani bila sababu ya msingi ni Mario watarajiwa na kwa Dar watoto wengi wa Kinondoni, Kijitonyama na Sinza ndo wana tabia hii. Mbaya zaidi analeta na demu kabisa hadi kwao na wazazi wanamuangalia tu mfyuuu.
  6. M

    Manufaa ya kujiendeleza kielimu kwa watumishi wa umma hapa Tanzania

    Kwani lazima ufanye kazi serikalini tu?
  7. M

    wapi ninunue TV Box Dar

    Zinapatika mkuu, me nilininua Kariakoo kwenye duka la vifaa vya radio hasa za magari, na nilinunua kwa 45k nilikuwa natumia ila toka walipositisha analogy wakaweka digital nikashindwa kupata decoder na antena au kidish kwa matumizi niliyokuwa nayo. Kama vp njoo inbox
  8. M

    Nauza ticket nliyipia ya fast-jet 04 Jul na kurudi 07 July Kilimanjaro

    Haiwezekani kwa sababu hazibadilishwi jina, imekula kwako hiyo!
  9. M

    SWALI: Mkoa gani Tanzania ni mzuri kwa kuishi?

    Nenda visiwa vya ukerewe kuna kitongojibkinaitwa ukara mkoa wa Mwanza.
  10. M

    'Mizigo' hii ilikuwa haikutajwa na Kinana na Nape

    Mbona buku 7 fc siwaoni leo?
  11. M

    naomba ushauri kwa hili

    Usithubutu kabisa, wanatumia compounding interest method kama sijakosea ukikopa mil 3 unaweza ukalipa mil 6 au 7 kwa hiyo miaka mitatu. Hao jamaa ni wezi sana
  12. M

    Sugua kisigino wa Twanga Pepeta

    Nakushukuru sana ndugu yangu, siku njema!
  13. M

    Sugua kisigino wa Twanga Pepeta

    Sijui ni album gani ndo maana nikauliza
  14. M

    Sugua kisigino wa Twanga Pepeta

    Najua ni kikorombwezo ndo nataka kujua jina la wimbo wowote wenye kikorombwezo hicho
  15. M

    Sugua kisigino wa Twanga Pepeta

    Wandugu ninaomba anaeujua jina lake halisi wimbo wa African Stars band a.k.a Twanga pepeta International we vionjo vya "SUGUA KISIGINO" naomba atupie jina lake hapa ili niweze kuutafuta.
  16. M

    Sugua kisigino wa Twanga Pepeta

    Wandugu ninaomba anaeujua jina lake halisi wimbo wa African Stars band a.k.a Twanga pepeta International we vionjo vya "SUGUA KISIGINO" naomba atupie jina lake hapa ili niweze kuutafuta.
  17. M

    Naomba one on one mjadala na Dr. Slaa

    Taja jina lako tujue wewe ni nani Dr. Slaa hawezi kuongea na msukule kama wewe mwanaume kweli weka jina lako kamili.
  18. M

    CHADEMA ndio chama pekee chenye kuhubiri upendo,ujasiri na matumaini

    Na nyie Ccm muendelee na biashara yenu ya madawa ya kulevya ili vijana wawe mateja, biashara ya ujangili ili vivutio viishe na kuwang'oa watu kucha ili muonekane wababe. Kuhusu amani na maendeleo nyie haviwahusu!
Back
Top Bottom