sera yetu ya kwanza kwa bidii someni sana, sera yetu ya pili kwa bidii kuleni sana. Sera yetu ya tatu kwa bidii chezeni sana! Mafanikio sera ya kwanza afadhali, nayo ya pili kidogo sana nayo ya tatu hakuna kituuu.
Uchaguzi ni mkakati, mnaweza mkajipanga kukomoa chama flani lakn kikashinda kwa kishindo tena ndani ya eneo linalokichukia. Mifano mnayo ya kutosha. Shein alipata 94% ndani ya visiwa vyenye asilimia kubwa ya wapinzani. So msijidangaye wakati hamna mkakati wowote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.