Search results

  1. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Nauza notebook asus ya mtumba ni android ram 1GB storage ni 54GB kwa shs.60,000....touch haifanyi kazi sababu ili anguka touch ika crack unatumia keyboard tuu kama upo serious nichek 0716385824 napatikana dar es salaam
  2. alberttt

    Nauza mbwa wangu wa kizungu kwa bei chee

    nauza mbwa wa kizungu bloodline tofauti tofauti(roltroillers,german sherphered e.t.c) kwa bei nafuu tsh.450,000 sihitaji dalali kama unahitaji nipigie simu 0716385824....Napatikana kigamboni.kama picha hazijatosha unaweza kuja kwangu ukawaona wengine zaidi karibuni
  3. alberttt

    je unasumbuliwa na tatizo la kuto julikana kwa biashara au shughuli unayofanya inayo kuingizia kipato?

    okoa biashara yako sasa kwa kutumia e-lectronic marketing baina ya biashara na mteja. 1.Natoa huduma ya bulk sms (ujumbe kufika kwa watu wengi) hadi watu 600,000 kwa siku moja 2.Nauza database za namba za wateja tanzania nzima ya mitandao yote ya simu inategemeana na uhitaji wako. 3.Natoa...
  4. alberttt

    Je una tatizo la kutojulikana kwa biashara yako au shughuli yako?

    okoa biashara yako sasa kwa kutumia e-lectronic marketing baina ya biashara na mteja. 1.Natoa huduma ya bulk sms (ujumbe kufika kwa watu wengi) hadi watu 600,000 kwa siku moja 2.Nauza database za namba za wateja tanzania nzima ya mitandao yote ya simu inategemeana na uhitaji wako. 3.Natoa...
  5. alberttt

    WEKEZA NA ZSB TANZANIA COMPANY LIMITED.

    WEKEZA NA ZSB TANZANIA COMPANY LIMITED. ZSB Tanzania Company Limited ni kampuni iliyo sajiliwa mnamo 14/11/2008 na kupewa cheti(hati) cha usajili no.107-513-183. ZSB ina ofisi zake mkoni Mwanza, Shinyanga na Dar-es-Salam. Kwasasa kampuni hii imejikita kwenye Masuala ya Ulinzi ambapo imepewa...
  6. alberttt

    Nyumba inauzwa Mbagala Chamazi

    Nyumba ya kisasa inauzwa milioni 60 vyumba 4 vya kulala(1 master),sittingroom,diningroom,jiko ina fance,umeme na maji.ipo mbagala chamazi opp na shule ya sekondari chamazi.ina hati,leseni ya makazi.kama upo serious nichek Sent using Jamii Forums mobile app
  7. alberttt

    Rafiki yangu wa kike anasumbuliwa na ndoto za kufanya ngono na ngedere

    Ni rafiki yangu sana zaidi ya ndugu. Amenieleza tatizo hilo la kuota ndoto za kufanya ngono na ngedere na hajui tafsiri ya hizi ndoto ambazo zimefululiza kumtokea mwaka huu. Mwenye utaalamu au ufafanuzi wa ndoto za namna hii anisaidie nimwokoe huyu dada.
  8. alberttt

    Mchumba ninae taka kumuoa nimegundua anavuta bangi

    Wadau naomben ushauri.....nimegundua kuwa mke wngu mtarajiwa anavuta bangi....nilikua sifahamu hapo mwanzo sababu alinificha....nimemfumania akivuta chumbani niliporudi toka kazin bila kumfahamisha.nipo dailema
  9. alberttt

    ewe mjasiriamali unajua njia rahisi ya kutanuka kibiashara?

    saizi ni ulimwengu wa smartphone na internet tumia fursa hii kueneza biashara yako mikononi mwa mteja.natengeneza blog na android mobile app kwa bei nafuu mno na kuiweka playstore kabisa. blog @10,000/= mobileapp @40,000/= .kama upo serious nichek 0716385824 au (albosoftwares gmail.com) na hizi...
Back
Top Bottom