Search results

  1. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Sijui mkuu njoo na ruler uipime ila mwonekano wake ndo huo kama kwenye picha unavyo ona
  2. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Sijui mkuu sina utaalamu wa computer kama itakuja kuiona njoo na ruler ya kupimia
  3. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Nakutumia tuu mzigo kwa basi kama una imani na mm...kama hauna unaweza tumia ndugu yako yyte aliepo huku dar
  4. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Nakutumia tuu mzigo sababu mm ni mwaminifu...kama hauna imani na mimi unaweza kutumia ndugu yako yyte aliepo huku dar
  5. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Nauza notebook asus ya mtumba ni android ram 1GB storage ni 54GB kwa shs.60,000....touch haifanyi kazi sababu ili anguka touch ika crack unatumia keyboard tuu kama upo serious nichek 0716385824 napatikana dar es salaam
  6. alberttt

    Nauza mbwa wangu wa kizungu kwa bei chee

    kwani ukimueka mlinzi getini kwako anakuingizia shingapi kwa siku?
  7. alberttt

    Nauza mbwa wangu wa kizungu kwa bei chee

    nauza mbwa wa kizungu bloodline tofauti tofauti(roltroillers,german sherphered e.t.c) kwa bei nafuu tsh.450,000 sihitaji dalali kama unahitaji nipigie simu 0716385824....Napatikana kigamboni.kama picha hazijatosha unaweza kuja kwangu ukawaona wengine zaidi karibuni
  8. alberttt

    Nahitaji mtu wa kuweza kunisaidia kuwandika Proposal

    nichek mkuu nipo dar 0716385824
  9. alberttt

    je unasumbuliwa na tatizo la kuto julikana kwa biashara au shughuli unayofanya inayo kuingizia kipato?

    sijajua idadi ya audiance unaotaka liwafikie tangazo lako.
  10. alberttt

    je unasumbuliwa na tatizo la kuto julikana kwa biashara au shughuli unayofanya inayo kuingizia kipato?

    gharama itakua tshs.40,000 na tangazo litadumu siku 7 hewani
  11. alberttt

    je unasumbuliwa na tatizo la kuto julikana kwa biashara au shughuli unayofanya inayo kuingizia kipato?

    okoa biashara yako sasa kwa kutumia e-lectronic marketing baina ya biashara na mteja. 1.Natoa huduma ya bulk sms (ujumbe kufika kwa watu wengi) hadi watu 600,000 kwa siku moja 2.Nauza database za namba za wateja tanzania nzima ya mitandao yote ya simu inategemeana na uhitaji wako. 3.Natoa...
  12. alberttt

    Je una tatizo la kutojulikana kwa biashara yako au shughuli yako?

    okoa biashara yako sasa kwa kutumia e-lectronic marketing baina ya biashara na mteja. 1.Natoa huduma ya bulk sms (ujumbe kufika kwa watu wengi) hadi watu 600,000 kwa siku moja 2.Nauza database za namba za wateja tanzania nzima ya mitandao yote ya simu inategemeana na uhitaji wako. 3.Natoa...
  13. alberttt

    WEKEZA NA ZSB TANZANIA COMPANY LIMITED.

    WEKEZA NA ZSB TANZANIA COMPANY LIMITED. ZSB Tanzania Company Limited ni kampuni iliyo sajiliwa mnamo 14/11/2008 na kupewa cheti(hati) cha usajili no.107-513-183. ZSB ina ofisi zake mkoni Mwanza, Shinyanga na Dar-es-Salam. Kwasasa kampuni hii imejikita kwenye Masuala ya Ulinzi ambapo imepewa...
  14. alberttt

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mr.ontario unakipaji kikubwa but ego yako jaribu kuicontrol umeji expose sana kwamba umesoma vitabu vingi labda kucreate influence watu waamini kama wewe juu yangu siwezi kukubishia wala kukubalina na ww kwamba mimi ni tapeli...lakini bado uhakika huna kuwa mimi ni tapeli au laa au ww umesoma...
  15. alberttt

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nilufungua wallet ya skrill karibuni iliniletea message hiyo nikashindwa kuendelea na currency nili opt usd.Nilitafuta usaidizi mitandaoni na kujaribu kuanza kufungua tena kama user mpya kwa currency ya euro ikikubali na hata nilipo hamisha pesa kutoka kwenye cash card yangu ilikubali japo ina...
  16. alberttt

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu saizi skrill wana sheria mpya huwezi kutoa au kuingiza pesa kwa usd ni euro tu.hivyo basi badilisha hapi bank account kutoka usd na kuwa euro na hilo tatizo linakua limekwisha habari yake.shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  17. alberttt

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Shukrani mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom