nimejifunza mambo mengi sana kwa walokole wengi wanachanganyikiwa na mafundisho wanayopewa, iko hivi mambo ya kiroho wanayaleta mwilini lazima uonekane chizi, wengi hajajua kudili na ulimwengu wa roho kwahiyo nikuchanganyikiwa kwakwenda mbele
MwenyeziMungu asante kwakuwaokoa watu wako bila Neema yako hapo watu wangepoteza maisha yao, pia tunaomba tunusuru sisi watu wa kaskazini maana ndio njia yetu ya kwenda nyumbani zetu hilo daraja liko kama mtego ni ngumu sana mtu kuamini kwamba Hilo daraja lipo hivyohivyo kabla Tz haijapata uhuru😐😶
Hivi kwanini watu wamekua na akili fupi kwenye maswala ya mahusiano, kwani mtu akiwa ameoa ndio mwisho wa kupenda au kupendwa halafu wengi mmekazania atakua second option suala hilo la option linatoka wapi wakati mtu tayari anaelewa huyo ni mume wa mtu? Labda kama anataka kumpindua kwa mke wake...
Ongeeni yote mpendavyo ila Suguye niacheni mwenyewe bora niitwe mjinga tena jinga ila hamjaniambia lolote kwa Suguye toeni povuu mpendavyo maji yake tutanunua na mafuta na kila atakachokisema kitanisaidia nabeba nimekubali kuwa mjinga povuu ruksa
Huyu dada atashinda ila namshauri awe makini sana na hao wanaomsindikiza mahakamani wakijidai ni dada zake sijuhi ndugu zake hakuna lolote hao ndio wanao mteketeza wakijidai wanamuhurumia, maandiko matakatifu yanasema adui wa mtu ni wale wa nyumbani kwake narudia tena awe makini na hao...
Vijana mnaopenda kitonga stukeni jinamke limekuzidi 10yrs bado linakuja kukuloga jamani vijana wa sasahivi mko kwenye hatari kweli bure itawatokea puani. Huyu mtunzi hadithi yake inamafundisho hasa kwa vijana wapenda kuolewa maana mlezi wa wana hana jipya zaidi yakuwaza maumbile makubwa ya...
Hivi hicho kifo ni kitu cha ajabu sana kiasi kwamba wa Tanzania au tuseme wana Darisalam kuahamishie akili zetu natural thing kiasi kwamba tunasahau 1.5 trillion ?? Tunasahau 26.4
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.