Search results

  1. H

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Mimi ni muathirika wa ugonjwa wa Kisukari lakini kutoka na kufuata masharti na kutumia dawa za aina mbali mbali naona sukari iko normal kabla sijala inasoma tano nikiwa nmekula ni saba na vipoint Shida ni kua mwili wangu bado umendea kua dhaifu sana, uchovu mwng yan bado sina aman nmeshapima...
  2. H

  3. H

    Jinsi ya kuweka siri sms zangu

    Du aise....sijuh nmekosea wap kujieleza
  4. H

    Jinsi ya kuweka siri sms zangu

    Ndo mana wakaandika JAMII FORUM...THE PLACE WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
  5. H

    Jinsi ya kuweka siri sms zangu

    Siri nnayoisema huku tunapost mambo lakin hatufaamian ina mana kuna jambo unawza post lakin hutaki watu wakufahamu
  6. H

    Jinsi ya kuweka siri sms zangu

    Kuna siku nlipost jambo la siri huku nashangaa rafiki zangu wanaonifahamu wakaanza kunishangaa na kunipigia simu ebu nisaidieni nlikosea wapi na huku najua ni siri?
  7. H

    Ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?

    Sawa, kama haiw ndoa ikitokea mmekaa nae huo mda mkaja mfano mkatofautiana si yanaanza mambo ya kugawana mali? Au sijaelewa?
  8. H

    Ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?

    Poua japo majibu yanatofautiana sijuh hapa lipi sahihi
  9. H

    Ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?

    Niulize wanasheria ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?
  10. H

    Nini madhara ya Juisi ya viazi mviringo?

    Habari za huku, Naomba kwa anaejua madhara ya juisi ya viazi mvirngo anisaidie mana nimekua nikiitumia kama tiba ya vidonda vya tumbo (kuondoa acid tumboni au kupunguza ges) lakin naona kila nikiangalia google wanasema kama una matatizo ya kuumwa viungo vya mwili usiitumie kabisa sasa nashndwa...
  11. H

    Naomba kujuzwa pombe isiyodhuru vidonda vya tumbo

    Hiyo dawa nisaidie mkuu matumiz yake
  12. H

    Naomba kujuzwa pombe isiyodhuru vidonda vya tumbo

    Kama nlivyoeleza mkuu mimi si mlevi ila siku moja moja nkitaka angalau ku apdate akili huwa napenda kunywa kidgo tu si mtu ambaye nmejiweka huko ki vile hapana, naweza kaa hata miez mitatu sijagusa ila nmegundua sina kitu kingne cha angalau kutuliza akili yangu siku moja moja zaid ya hiyo mkuu
  13. H

    Naomba kujuzwa pombe isiyodhuru vidonda vya tumbo

    Savannah mkuu ni mbaya sana nlishanaribu kidgo niliona moto wake
  14. H

    Naomba kujuzwa pombe isiyodhuru vidonda vya tumbo

    Ok ntajarbu mkuu kidgo kidgo nicheki
  15. H

    Naomba kujuzwa pombe isiyodhuru vidonda vya tumbo

    Mkuu hii soda nmeielewa sana japo sikupiga gambe lakin mkuu ges naona imetoka kabsa naogopa hata nisiguse pombe nisijeharibu
Back
Top Bottom