Search results

  1. Samandarojk

    SoC01 Baba; Shujaa aliyesahaulika katika ngazi ya Familia

    Kwa miaka mingi dunia ilipitia changamoto nyingi sana kwa baadhi ya jamii kuzitawala jamii nyingine au taifa moja kulitawala taifa jingine katika kila nyanja kuanzia siasa, uchumi, biashara na hata huduma za jamii. Uvamizi huo uliwafanya wazawa kutokuwa na maamuzi yeyote katika ardhi yao mama...
  2. Samandarojk

    Wakuu njooni tujifunze kuongea kiarabu

    Napendekeza Tungeanza kujifunza salaam!
  3. Samandarojk

    Wakuu njooni tujifunze kuongea kiarabu

    شكرن الك لتصحيح ما خطأت
  4. Samandarojk

    Wakuu njooni tujifunze kuongea kiarabu

    كيف خالك
  5. Samandarojk

    La petit Mort; Kila binadamu anaeishi ameshakufa kidogo kidogo mara nyingi tu Maishani mwake.

    Ndio maana cocacola wameamua kutusogezea karibu!! [emoji482]
  6. Samandarojk

    Inakuaje mwanaume unasikiliza taarabu??

    Ipi tofauti kati ya rusharoho na taarabu? Ukijua hilo, hutasema usemacho!!
  7. Samandarojk

    State house nchini marekani

    Father Aliens
  8. Samandarojk

    Dark arts za intellijensia na utata wa kifo cha jasusi

    Uko deep. Lakini inasemekana jamaa alifungiwa na kufuli kwa nje na funguo zikiwa mgongoni ndani yake, na hakuna alama za vidole...
  9. Samandarojk

    Dark arts za intellijensia na utata wa kifo cha jasusi

    Spell inakuwaje kiongoz
  10. Samandarojk

    KUTOROKA 'MWAMBANI' - Kinachokuzuia si kuta ndefu, bali akili yako.

    Hivi huku bongo hakuna mikasa kama hiyo ya kutoroka gerezani, kila mkasa wa kibabe ni mbele tu........ Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Samandarojk

    Je, nini kilimpoteza mwanamuziki Jim Sullivan baada ya kuimba kuhusu kutekwa na Aliens?

    Mkuu nifafanulie hapo kwenye ushirikiano wa Alliens na serikali ya marekani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Samandarojk

    Nafasi ya Artificial creation ( uumbaji bandia)kama kazi ya Mungu.

    Duuh ama kweli dunia ni pana na ina mingi miujiza Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Samandarojk

    Nafasi ya Artificial creation ( uumbaji bandia)kama kazi ya Mungu.

    Wanatumia lugha tunazotumia sisi? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Samandarojk

    Nafasi ya Artificial creation ( uumbaji bandia)kama kazi ya Mungu.

    Nataka kujuzwa kuhusu hawa jamaa wanaoitwa Aliens ndio nipate pa kuanzia Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Samandarojk

    Mapenzi yako ni kina gani? (How deep is your love?)

    Mtoa uzi kasema anahisi ilitoka, si kwa mateso alopatiwa... Lakini nahisi kuna sehemu itakuwa imemiss . Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Samandarojk

    Mapenzi yako ni kina gani? (How deep is your love?)

    Nimekupata mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Samandarojk

    Great Leap Forward 1958-62: Vita ya mwanadamu dhidi ya viumbe ilioua watu Million 50

    Nimejifunza adui ni muhimu sana kwangu, kuliko rafiki Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom